Tatizo langu ni nini?

Tatizo langu ni nini?

Kijallo

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
409
Reaction score
61
Najua humu ndani kuna watu wa aina nyingi sana.wapo wanaoweza kunisaidia tatizo langu.na wapo wanaptweza kudharau na kunikebeh
Umri wangu ni miaka 29 sasa.kila nikipata mwanamke nikikaa naye sana ni miezi miwili.naanza kumwona hanifai.na sio kwamba nado nao hapana.tukiwa tu ktk mahusiano.
JE TATIZO LANGU NO NINI HAPO?
 
ubitozi ndo unakusumbua tu
 
Boredom seems to set in pretty early for you.

That's just the way you are and you may not be cut for long term relationships.

And there is nothing wrong with that.
 
Una jini mahaba tena la kike, umekoa wala mwenyewe hujijui, usiku una lala nalo, ukiwa kwenye mahusiano linaona wivu hivyo linavuruga.
 
mkuu dunia inapita na mambo yake, mke mwema anatoka kwa MUNGU, usisubiri usushiwe funga na kuomba utapata anayekufaa.
 
Najua humu ndani kuna watu wa aina nyingi sana.wapo wanaoweza kunisaidia tatizo langu.na wapo wanaptweza kudharau na kunikebeh
Umri wangu ni miaka 29 sasa.kila nikipata mwanamke nikikaa naye sana ni miezi miwili.naanza kumwona hanifai.na sio kwamba nado nao hapana.tukiwa tu ktk mahusiano.
JE TATIZO LANGU NO NINI HAPO?
Tatizo lako una taka kuishi nao KIZOMBI ZOMBI ,
 
Najua humu ndani kuna watu wa aina nyingi sana.wapo wanaoweza kunisaidia tatizo langu.na wapo wanaptweza kudharau na kunikebeh
Umri wangu ni miaka 29 sasa.kila nikipata mwanamke nikikaa naye sana ni miezi miwili.naanza kumwona hanifai.na sio kwamba nado nao hapana.tukiwa tu ktk mahusiano.
JE TATIZO LANGU NO NINI HAPO?

Kabla sijajibu swali lako, naomba nijibu maswali yangu haya ya kipuuzi labda yanaweza kunipa mwanga kuhisi tatizo ulilonalo
  • Unamaanisha nini unaposema "unawaona hawafai"? Ni kivipi? Kitabia, kimuonekano? au kwa namna ipi?
  • Hao wasichana unao wapata huwa unawapata kwa kutumia vigezo vyako mwenyewe? na je huwa wanavifikia hivyo vigezo?
  • Umeshawahi kuota ndoto za ajabu ajabu usiku?
 
Najua humu ndani kuna watu wa aina nyingi sana.wapo wanaoweza kunisaidia tatizo langu.na wapo wanaptweza kudharau na kunikebeh
Umri wangu ni miaka 29 sasa.kila nikipata mwanamke nikikaa naye sana ni miezi miwili.naanza kumwona hanifai.na sio kwamba nado nao hapana.tukiwa tu ktk mahusiano.
JE TATIZO LANGU NO NINI HAPO?

Tatizo lako ni hili :"WEWE UKO ANALOGIA" na wenzako wako "DIGITALY"
 
Auntie Bilal ndoa yake lini? Nilikusoma kule celebrity nikawa na hamu sana ya details za umbea ule. LOL
anataka kuwa maid of honor au best woman. bado sijajua the correct term hapo
 
Tatizo lako ni hili :"WEWE UKO ANALOGIA---yaani uko CCM" na wenzako wako "DIGITALY ---yaani CHADEMA " .

hapo umenisingizia.kijana kama mimi kuwa Ccm ni majanga.
hata hivyo hatujadili siasa hapa.NAOMBA MSAADA WAKO
 
Najua humu ndani kuna watu wa aina nyingi sana.wapo wanaoweza kunisaidia tatizo langu.na wapo wanaptweza kudharau na kunikebeh
Umri wangu ni miaka 29 sasa.kila nikipata mwanamke nikikaa naye sana ni miezi miwili.naanza kumwona hanifai.na sio kwamba nado nao hapana.tukiwa tu ktk mahusiano.
JE TATIZO LANGU NO NINI HAPO?

Ni sababu tatu hupelekea hivyo;
1- Either hao unaowapata ni kinyume na ulivyotarajia, eg: ulimuhis ana-ki/vitu flan flan ivi, but baada ya kuwanae ukagundua hana, au anavyo lakin ana na kasoro flan ambazo huwezi kuvumilia.
Ikiwa unatatizo hili nakuomba ukumbuke 'HAKUNA MKAMILIFU'.
2- unavyooneka na kuvutia ni tofauti na undani wako (mtu anagundua wrong number) eg: unawivu sana, hakuna anaependa kudhibitiwa/kubwanwa na masharti makali mapema.
3- (if sio number 1 or 2 above) unamadudu. (may be!)
 
Back
Top Bottom