Tatizo langu ni lugha ya Kiingereza

Tatizo langu ni lugha ya Kiingereza

Donking7;

Asante sana,hasa kwa kuwataka ndugu na jamaa kuwa waungwana,maana wengine wanaacha kujibu nilicho uliza wanaweka maneno yao binafsi,nitayafanyia kazi maneno yako,ubarikiwe sana
 
Last edited by a moderator:
Jitahidi uwe unaota ndoto kwa kidhungu, ukifikia hatua hiyo kitazama chenyewe kwenye ubongo wako fasta!, Watu wengi tunajifanya tunajua kiingereza lakini usiku tunaota ndoto kwa lugha ya kiswahili!.
 
Soma majarida mbali mbali ya Kingereza... Nunua dictionary ndogo ya Swahil - English... Jiwekee mazoea ya kukiongea nyumbani , kazin, chuoni n.k
 
Sina shida nacho,hapo nimechapia bahati mbaya,kama unavyo jua simu zetu hizi za smart phone

Mbona mkuu umeweza kuandika neno smart phone vizuri tu.Unajua kingereza wewe sema bado hujajiamini
 
Kama ana msingi mzuri anaweza pia kujifunza kwa kusoma novel na plays halafu acheki series zenye subtitles
 
Back
Top Bottom