Napopenda Mimi kuhisi na Huyo mwenzangu na yy anapenda kumbe sivyo kabisa nachopata
Napopenda sipendwi
Udhaifu wangu ndio huo ndio maana naishia kulia, sasa cjui nisipende
Udhaifu wangu ndio huo ndio maana naishia kulia, sasa cjui nisipende
Udhaifu wangu ndio huo ndio maana naishia kulia, sasa cjui nisipende
Hakuna ubaya wowote ule kupenda sana.
Cha muhimu ni kuzingatia wapi unapenda.
Penda sana pale unapopendwa sana.
Pale usipopendwa (sana) timka mbio.