olesiteti Jr
Member
- Jul 6, 2016
- 96
- 59
Habari zenu ndugu zang Leo nimekuja mbele yenu baada ya kukosa suluhu ya suala lang la kiiman nime kuwa Niki sumbuliwa na tatizo la kiiman takribani 8yrs lakin bado sijapata solution juu ya swala langu huwa na ota au nikiwaza vitu vinatokea kweli wakat Wa usiku huwa hisi vitu vikitembea muda nikiwa nimelala SAA nyingine nahisi vina kaa upande wangu hali hii huwa INA nipa hofu sana kwa sababu na kosa hata usingizi wakat mwengine kichwa kina uma kama nimepigwa gazi upande Wa nyuma kuzunguka masikio hali
Pindi inapo nitokea INA nifanya nipoteze kumbukumbu na mwili una kuwa mzito kama nimefanya kazi ngumu
Nime kuja mbele yenu kuomba msaada Sina uwezo wowote Wa kutatua suala lang tafadhari kwa wanaojua shida nini wanisaidie nipo katika wakat mgumu nimepoteza aman kutokana na suala hili maana sasa hivi nipo kwenye kipindi cha mitahani na hii hali ndo INA nisumbua .msaada wenu jaman sina raha na hii hali..