Tatizo la youtube kwenye simu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la youtube kwenye simu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by kalendi, Sep 25, 2012.

 1. kalendi

  kalendi JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 895
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 60
  Wanajamvi heshima sana kwenu!

  Nina simu aina ya Nokia E5 yenye keypad zenye kiarabu na kawaida. Kila nikijaribu kucheza video kwenye YouTube inanipa ujumbe huu; "connection to server needed".

  Lakini nikifuatilia huo ujumbe hatimaye unaniambia kile nilichokuwa nafuatilia tayari kimehifadhiwa kwenye gallery.

  Lakini nikijaribu tena video inaniambia vilevile kama mwanzo.

  Naomba msaada kwenu kwani huduma hiyo naipenda.
   
 2. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  unaaplication ya you tube kwenye simu yako? Kama hauna download kwa kutimia ovi
   
 3. kalendi

  kalendi JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 895
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 60
  Hiyo pragramu ipo mkuu
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,764
  Likes Received: 7,068
  Trophy Points: 280
  configure real player kwanza nenda kwenye app ya real player then tafuta seting then network eka access point unayotumia.

  Hio inayojisave kwenye galery sio video bali ni link ya video ya kustream usually kwa simu ni rstp://

  Kama bado tatizo linaendelea kadownload app ya youtube ovi au download app inaitwa xenozu youtube player
   
 5. kalendi

  kalendi JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 895
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 60
  Mkuu chief-mkwa
  ma upo juu sana !

  Nimeseti imekubali.

  JF juuu.......!
   
Loading...