Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,305
- 8,655
Waheshimiwa nisaidieni PC yangu DELL LATITUDE E6230 ilikuwa inarun fresh windows ten sasa baadae katika kufanya mautundu flani ikaja ikazingua yaani ishu kama vile haikuwaka tena ikawa inadai no bootable device detected basi nikaamua kuweka windows 10 pro!
Hapo ndipo tatizo lilipoanzia maana baada ya hapo ikawa nzito katika kuwaka na ikiwaka ishu ikaja kwenye kusleep yaani ikisleep haiezi ku wake up tenaa yaani ile cursor inastack maanake uzime tena kwa buton ndo uiwashe tena!
Nikaona isiwe kesi wacha nieke windows 7 ambayo pc zina run fresh tu sasaa Nashangaa nimeeka hio windows seven bado tatizo lipo pale pale ase!
Wadau nakaribia kukata tamaa kuhusu Hii Mashine yangu embu nisaidieni asee
cc: Chief Mkwawa