Tatizo la Wi fi kuwa slow

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
1,465
2,000
Wakuu kuna WiFi tunatumia hapa chuo but iko slow sana .kiasi kwamba hata kudownload photos za watsaap wala kuplay video haiwezekani.

Lakini meseji za whatsaap zinaingia fresh kwenye simu. Pia unaweza kuingia Facebook, lakini kudownload vitu haiwezekani

Je, tatizo linaweza kuwa ni nini?
 
STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
6,306
2,000
Either wamelimit downloads au ina watu wengi wanatumia. Uwezekano mkubwa ni kwamba wamelimit downloads maana vyuo vingi na free wifi nyingi ndio huwa wanafanya hvo ili wasiingie hasara

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mm najua kama chuo, Wizara au mahoteli huwa wananunua internet unlimited yaani haina kikomo inategemea kwa mwezi, miezi 6 au mwaka, so wanaposema wanafanya hivyo wasiingie hasara haimake sense labda kama waseme watu watakua addicted na internet it means watakua wako byzy na internet sana na watawacha malengo yao yaliowapeleka
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
23,365

hawawezi weka unlimited chuoni, labda kama wamelewa.

hata hao provider kuna condition kibao, ikiwemo eneo unaloenda kuweka ni la namna gani, public au private. eneo kama chuo hawakuelewi.

tena taasisi zenyewe hizi za gavamenti
 
STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
6,306
2,000
hawawezi weka unlimited chuoni, labda kama wamelewa.

hata hao provider kuna condition kibao, ikiwemo eneo unaloenda kuweka ni la namna gani, public au private. eneo kama chuo hawakuelewi.

tena taasisi zenyewe hizi za gavamenti
Dahh, sjui kwann internet sikuizi imekua ghali sana kupita maelezo, wakati kitu internet ndio kilichotakiwa kuwa rahisi sana baada ya chakula kwa dunia ya sasa, mm nakumbuka mwaka 2012 kama sikosei, ilikua unaweza kujiunga kifurushi cha usiku 500 tu ukastreem net usiku mzima mpaka saa mbili asubuhi tena H+yenye kasi 7Mb/sec kipindi hicho, u nadowload movie yningi, au ndio ilikua kivutio cha wateja?
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
23,365
2,000
Dahh, sjui kwann internet sikuizi imekua ghali sana kupita maelezo, wakati kitu internet ndio kilichotakiwa kuwa rahisi sana baada ya chakula kwa dunia ya sasa, mm nakumbuka mwaka 2012 kama sikosei, ilikua unaweza kujiunga kifurushi cha usiku 500 tu ukastreem net usiku mzima mpaka saa mbili asubuhi tena H+yenye kasi 7Mb/sec kipindi hicho, u nadowload movie yningi, au ndio ilikua kivutio cha wateja?
inaonekana kuna supper profit huko.

na serikali haitii neno itakuwa inapata mrahaba mzuri pia.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,003
2,000
Dahh, sjui kwann internet sikuizi imekua ghali sana kupita maelezo, wakati kitu internet ndio kilichotakiwa kuwa rahisi sana baada ya chakula kwa dunia ya sasa, mm nakumbuka mwaka 2012 kama sikosei, ilikua unaweza kujiunga kifurushi cha usiku 500 tu ukastreem net usiku mzima mpaka saa mbili asubuhi tena H+yenye kasi 7Mb/sec kipindi hicho, u nadowload movie yningi, au ndio ilikua kivutio cha wateja?
India,1 GB = Tsh 200
 
racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
1,044
2,000
Mkuu mm najua kama chuo, Wizara au mahoteli huwa wananunua internet unlimited yaani haina kikomo inategemea kwa mwezi, miezi 6 au mwaka, so wanaposema wanafanya hivyo wasiingie hasara haimake sense labda kama waseme watu watakua addicted na internet it means watakua wako byzy na internet sana na watawacha malengo yao yaliowapeleka
Sio zote. Wengine hawaweki unlimited kutokana na matumizi yao si makubwa.

Ila najua kma pale UDSM wanalimit downloads ili kuzuia watu wasi slow down mtandao. Kwa mfano pale department ya UCC wana wifi yenye speed nzuri tu. Ukiwahi ukienda kabla ya saa 1 unaweza download vitu vyako vizuri tu na speed ilikua inapiga mpka 20MB/s. Ikifika tu saa 1 wanalimit downloads zote ili watu wasifanye waliokua ofisini kukosa internet yenye speed.

Na ukiingia mule UCC kuna baadhi ya computer rooms ambazo ndio watu wanaosoma short courses wanazitumia huwa zina kuwa limited in speed lakini baadhi ya computer room (kma kuna moja ina MacBooks) mule hakuna limit yoyote na speed inatembea kama kawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
1,044
2,000
Dahh, sjui kwann internet sikuizi imekua ghali sana kupita maelezo, wakati kitu internet ndio kilichotakiwa kuwa rahisi sana baada ya chakula kwa dunia ya sasa, mm nakumbuka mwaka 2012 kama sikosei, ilikua unaweza kujiunga kifurushi cha usiku 500 tu ukastreem net usiku mzima mpaka saa mbili asubuhi tena H+yenye kasi 7Mb/sec kipindi hicho, u nadowload movie yningi, au ndio ilikua kivutio cha wateja?
Mm kinachonikera zaidi ni kwamba wanapandisha bei za vifurushi ila hawa improve internet yao. Tigo wanapandisha bei kila siku ila 4G yao bado ni mbovu, Airtel nao hvyo hvyo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom