Tatizo la Watu kunitazama sana

Tatizo la Watu kunitazama sana

Mwamba umeenda mbali unaonekana ishu za upinde zipo kichwani sana hii ishu naongea serious ni kitu kinachonitokea kweli Sasa habari za upinde zinatoka wapi hapa..
Mkuu wapi nimesema upinde mm nimejibu kutoka katika reply ya rafiki yangu tena kwa utani tu, sikumaanisha hivyo
 
Tuma picha kwanza tuone tatizo lipo wapi maana huku Tandale unaweza ukapishana na mama mkwe na msionane tulivyovurugwa na life.
Hiyo hapo mkuu
Screenshot_20230518-225836.jpg
 
Wakati wanakutizama mkuu wanaonyesha nyuso za woga au wasiwasi na je pochi zao wanaficha?
 
Watakupigia kelele za mwizi siku moja..hapo ndio utajua dunia haina huruma
 
Niende kwenye mda wakuu binafsi kuna mambo yananichanganya

Tangu nimefikisha umri wa miaka 34 nilinotice kitu huwa natizamwa sana na watu wazima mpaka vibibi kwa ujumla wamama watu wazma kwa upande wa wanaume sio sana yani naweza kuwa natembea njiani gafla utakuta kuna mmama ananiangalia yani nikama kuna kitu natembea nacho kiko usoni kwenye paji la uso mpaka naogopa.

Sio Mara moja nakuta natazamwa sana binafsi niko kawaida navaa ki gentleman sina mambo mengi, hapo umri huyo sina mke.

Mahusiano yangu huwa yanakufa mapema sana kila nikianzisha nilishaleta uzi hapa ila hili la kutizamwa ningekuwa maalufu sawa lkn mi lofa tu inakuwaje natizamwa non stop utafikiri kuna marudio ya USM Alger na young Africans?
Sasa kwa hiyo Avatar yako

unafikiri wataacha vipi kukutizama🤔
 
Mimi nasalimiwa sana nikiwa popote pale tangu nipo dogo kabisa nipp hivyo,utakuta unaenda sehemu watu hawakujui huwajui wanakusalimia kwa bashasha kabisa unaweza kudhani mnajuana!..

Hata nikitembea barabaran mpita njia mwenzangu ntakayekutana nae ni lazima anianze yeye salamu tena kwa bashasha kabisa kama washkaji kumbe hata kuonana hamjawahi
 
Mhhh
 
Dah… watu wa alphabets mna shida
 
Mimi nasalimiwa sana nikiwa popote pale tangu nipo dogo kabisa nipp hivyo,utakuta unaenda sehemu watu hawakujui huwajui wanakusalimia kwa bashasha kabisa unaweza kudhani mnajuana!..

Hata nikitembea barabaran mpita njia mwenzangu ntakayekutana nae ni lazima anianze yeye salamu tena kwa bashasha kabisa kama washkaji kumbe hata kuonana hamjawahi
Mkuu afadhali we umetoa mfano wa kueleweka mi hapo ni vise vesa yaani mi utakuta utakuta MTU amekodolea macho straightforward ni kama anataka kuniuliza au anashangaa kitu kwangu mbaka najishtukia ili kuua soo huwa namsalimia Mimi sijajua kwanini kuna baadhi humu wamenitafsiri tofauti...
 
Niende kwenye mda wakuu binafsi kuna mambo yananichanganya

Tangu nimefikisha umri wa miaka 34 nilinotice kitu huwa natizamwa sana na watu wazima mpaka vibibi kwa ujumla wamama watu wazma kwa upande wa wanaume sio sana yani naweza kuwa natembea njiani gafla utakuta kuna mmama ananiangalia yani nikama kuna kitu natembea nacho kiko usoni kwenye paji la uso mpaka naogopa.

Sio Mara moja nakuta natazamwa sana binafsi niko kawaida navaa ki gentleman sina mambo mengi, hapo umri huyo sina mke.

Mahusiano yangu huwa yanakufa mapema sana kila nikianzisha nilishaleta uzi hapa ila hili la kutizamwa ningekuwa maalufu sawa lkn mi lofa tu inakuwaje natizamwa non stop utafikiri kuna marudio ya USM Alger na young Africans?
Demi Umemuelewa huyu kweli?😀😆

Inakuwaje mnamtazama sana?🤣🤣
 
Wewe ndio huyo kwenye avatar yako, basi lazima watu wakutazame sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom