TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,195
- 18,224
Kuku unaangaliwa tayari ni kwamba unajisikiliziaVery simple kujua, kuiona mtu anakukazia macho muulize kwanini. Ukiuliza watatu wanne utajua sababu
Afya ya akili
Kuku unaangaliwa tayari ni kwamba unajisikiliziaVery simple kujua, kuiona mtu anakukazia macho muulize kwanini. Ukiuliza watatu wanne utajua sababu
Wachawi wa Chaugingi watakuwa wamekufanya uonekane Kama Avatar yako kwenye ulimwengu wa rohoNiende kwenye mda wakuu binafsi kuna mambo yananichanganya
Tangu nimefikisha umri wa miaka 34 nilinotice kitu huwa natizamwa sana na watu wazima mpaka vibibi kwa ujumla wamama watu wazma kwa upande wa wanaume sio sana yani naweza kuwa natembea njiani gafla utakuta kuna mmama ananiangalia yani nikama kuna kitu natembea nacho kiko usoni kwenye paji la uso mpaka naogopa.
Sio Mara moja nakuta natazamwa sana binafsi niko kawaida navaa ki gentleman sina mambo mengi, hapo umri huyo sina mke.
Mahusiano yangu huwa yanakufa mapema sana kila nikianzisha nilishaleta uzi hapa ila hili la kutizamwa ningekuwa maalufu sawa lkn mi lofa tu inakuwaje natizamwa non stop utafikiri kuna marudio ya USM Alger na young Africans?
Sasa watu wanakushangaa nini picha nzuri kabisa hiyo😀😀, kichwani una manyoya ya kondoo fresh kabisaHiyo hapo dadaanguView attachment 2647447
Asante mkuu kuna MTU pia aliwahi kuniambia hata Mimi pia Nilinotice hilo hii ishu nikimwambia mtu ni ngumu kukuelewa emaging kuna jamaa hapo juu anasema najiuza unamsamehe tu yani unaweza kuta MTU amekukazia sura yani anaenda na ww ni kama vile anaona kuna kitu hakiko sawa kwako Sasa Mimi kuua soo huwa namsalimia ila asilimia kubwa ni wabibi na wamama wamakamo mwanaume wachache sana... Usikute nimepigwa chata usoni Niko sokoni soon..kama watu wamekomenti kwa mzaha bila kujali mada haina shida, lakini kama watu ndiyo wamekomenti wa utashi wao basi ni shahir dhahiri members wa jf ni weupe sana kichwa (maamuma)
kuna siku nilikuwa K/koo baada ga mizunguko nikapanda daladala siti niliyokaa pemembeni kulikuw na baba na mtoto mdogo kabeba wakati daladala inatoka mdogo mdogo yule mtoto aliangalia dirishani akawa anawambia baba. "baba ona wale wapo uchii" alkrudia kusema hivyo kama mara 3 hivi lakini baba yake akuwa na time naye, mimi nilivyoona mtoto anarudiarudia nikawa natazama dirishani lakini sikuona mtu yoyote alikuwa uchi na daladala ndo ikuwa inatoka.
Inawezekana kuna namna watu wanakuona kwenye ulimwengu wao ambao sio wakibinadamu na wanakuona kituko. sali sana kwa imani yako ukae sawa
hizo mambo zimeegemea na mambo ya kiroho, sio wote wanao amini hivi.