Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

Madame B,

Huyo dokta aliyekushauri uchambie maji ya moto ni wale madokta wa dizaini ya kina Lusekelo? Inawezekana una-chronic Pelvic inflammatory disease. Jaribu kwenda hospitali kweli kweli safari hii upate huduma ya uhakika.
 
Achana na mbuzi kagoma. jamaa atakutoa utumbo. maanake inaonekana anakukunja si mchezo. mambo vipi baby?. mia
 
Sababu za kuumwa tumbo baada ya kungonoka ni nyingi kama Mchomo wa viungo vya uzazi(PID), kuwa na utando wa ndani wa mfuko wa uzazi nje ya kizazi (endometriosis),kulegea kwa kizazi hadi kuning'inia nje ya uke (uterine prolapse), kizazi kugeukia nyuma (retroverted uterus) uvimbe (fibroids au tubovarian mass) mchomo kwenye kibofu cha mkojo, irritable bowel syndrome, kufanyiwa operesheni ya kizazi au karibu na kizazi na msongo wa mawazo.

Yote haya yanahitaji ufanyiwe uchunguzi wa kina na upimwe vizuri na daktari bingwa kubainisha matatizo yako.
Ushauri wangu ni matumizi ya buti wakati wa mchaka mchaka kwani shahawa zina prostaglandis ambazo zinaweza kusababisha msokoto mkali kwenye kizazi.
 
jaribu kufanya na mtu mwingine uone kama utahisi hayo maumivu!

huyo dokta aliyekushauri uchambie maji ya moto ni wale madokta wa dizaini ya kina lusekelo?

inawezekana una-chronic Pelvic inflammatory disease, jaribu kwenda hospitali kweli kweli safari hii upate huduma ya uhakika.

achana na mbuzi kagoma. jamaa atakutoa utumbo. maanake inaonekana anakukunja si mchezo. mambo vipi baby?. mia

Me inaumaga kidogo tu lakin nikiukalia.....ila style nyingine kama table coffee na nyingine tu zinaenda vizur tu.
We nenda hospital na utapona, sikushaur uache mchaka mchaka Madame B

Asanteni sana miss strong, figganigga, kayaman, asakuta same. Nitafuata ushauri wenu.
 
Last edited by a moderator:
Sababu za kuumwa tumbo baada ya kungonoka ni nyingi kama Mchomo wa viungo vya uzazi(PID), kuwa na utando wa ndani wa mfuko wa uzazi nje ya kizazi (endometriosis),kulegea kwa kizazi hadi kuning'inia nje ya uke (uterine prolapse), kizazi kugeukia nyuma (retroverted uterus) uvimbe (fibroids au tubovarian mass) mchomo kwenye kibofu cha mkojo, irritable bowel syndrome, kufanyiwa operesheni ya kizazi au karibu na kizazi na msongo wa mawazo.

Yote haya yanahitaji ufanyiwe uchunguzi wa kina na upimwe vizuri na daktari bingwa kubainisha matatizo yako.
Ushauri wangu ni matumizi ya buti wakati wa mchaka mchaka kwani shahawa zina prostaglandis ambazo zinaweza kusababisha msokoto mkali kwenye kizazi.

Asante sana damian marijani. Nitazingatia ushauri wako. Asante sana mpendwa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom