Dalili za Fangasi ukeni

Aug 17, 2023
9
58
DALILI ZA FANGAS UKENI
(jitibie mapema )
muwasho mkali sehemu za siri ( unaweza kuja na kupotea)
vipele vidogo vidogo ukeni
kutokwa uchafu mweupe mzito kama mtindi au wa rangi ya kijivu ukeni wenye harufu mbaya
Vidonda au michubuko ukeni
kutokwa na harufu mbaya ukeni
kupatwa na maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
kuvimba na kuwa mwekundu katika mdomo wa nje wa uke
kuwaka moto ndani na nje ya uke.

MADHARA YA FUNGUS ISIPOTIBIWA MAPEMA Maumivu wakat wa tendo la ndoa
uke kuwaka moto
mimba kuharibika
kutokupata ujauzito kwa muda mrefu
homon imblance
harufu mbaya ukeni
uke kuwa mkavu n.k

🪴 SABABU ZA FANGAS UKENI 🪴
Matumizi ya sabuni (Medicated soap) kuoshea uke.
Matumizi ya dawa za antibiotics mara kwa mara.
Utumiaji wa vyakula/vinywaji vyenye kiasi kikubwa cha sukari.
Ngono n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom