Goguryeo
JF-Expert Member
- May 17, 2019
- 2,510
- 4,510
hahaa....akili yako ni finyu Sana br... Achana na mm.Hayo baki nayo mwenyewe ila najua una maumivu makali sana
hahaa....akili yako ni finyu Sana br... Achana na mm.Hayo baki nayo mwenyewe ila najua una maumivu makali sana
Niliangalia Mechi ya Pyramids na Mazembe, sikuona kama Pyramids walionewa; Mazembe walifunga mabao mazuri sana.Tusemeni ukweli tuu, Afcon ya mwaka huu ilikua hovyo, waarabu wameonewa sana,,,fitina kama fitina 😁 kwanzia kwa egypt, Algeria, Comoro n.k
Kwani pyramids ni nchi au umevurugwa?Niliangalia Mechi ya Pyramids na Mazembe, sikuona kama Pyramids walionewa; Mazembe walifunga mabao mazuri sana.
Niliangalia Mechi ya Pyramids na Mazembe, sikuona kama Pyramids walionewa; Mazembe walifunga mabao mazuri sana.
Kwani pyramids ni nchi au umevurugwa?
Kama Ghana wamepita ki mchongo sana sidhani kama kwenye group stage wata shinda hata game mojaNazungumzia AFCON chief, waliopita kwa mchongo hawafiki mbali, na nawaombea watolewe.
Kama Ghana wamepita ki mchongo sana sidhani kama kwenye group stage wata shinda hata game moja
hapana wewe ndiyo umevurugwa! Kwani mazembe ni nchi?Kwani pyramids ni nchi au umevurugwa?
Sasa kama Mazembe nayo siyo nchi hiyo Afcon uliwaona wakicheza?hapana wewe ndiyo umevurugwa! Kwani mazembe ni nchi?
2017Wewe ng'ombe wa Mayele umeshawahi kufika hata fainali? Loser wahedi.
Jumlisha yote unapata mangapi?Makombe manne miaka minne mfululizo ya Ligi Kuu Tanzania.
Kumbe unaongelea nyuma? Njoo pm nikupe jina langu.huko nyuma hata Simba aliwahi kuchukua mara tano. pia nyie mnatambulika kama Mabingwa wa Zilipendwa.
Halafu Simba SC wakifanya yao kwa Lupaso wanatokea wachambuzi wapumbavu na mashabiki wa Uto kupiga kelele..Pole sana Tp Mazembe.Kwa alie tazama mechi ya Mazembe na Rs Berkane kayaona nliyokua nasema
Hij no 9 isomeke Orlando vs Simba ndio mechi ambayo ilikuwa na controversy decision hasa goli la orlando then VAR ikaja kuomekana dak 10 baadaeNajaribu kuwaza hawa waamuzi wanao chezesha michuano iliyo chini ya CAF wana matatizo gani ? ni kwamba hawana uelewa, wanafanya makusudi au kuna sheria za mpira ambazo zipo Africa kwingine hazipo?
Mifano ya mechi zilizo leta utata zipo nyingi hapa nita ainisha chache
1. Mechi ya kufuzu world cup kati ya Ghana na South Africa penalty ya utata
2. Finali ya Champions league 2019 kati ya Wydad Casablanca na Esperance de Tunis ( mechi ilivunjika kwa utata waemaamuzi)
3. Mechi ya Tunisia na Mali kwenye mashindano ya AFCON 2022
4. Mechi ya Al Ahl na Raja Casablanca hii ya juzi ajabu ni kwamba referee alienda kuangalia kwenye VAR na inaonyesha wazi mpira uligusa goti sio mkono bado referee akaweka tuta
5. Mechi ya Simba na Orando sikujua kwanini referee hakuenda kujiridhisha kwenye VAR
6. Mechi ya Asec Memosa na USGN kuna penalty ilitowewa mpka unae tazama unaona aibu.
Hizo ni baadhi ya mifano they are too many to mention, swali ambalo najiuliza kwamba CAF ni taasisi dhaifu imeshindwa kuondoa huu uozo kwani hatuoni kama hausaidii lolote ndio maana team zetu zikienda level ya mashindano ambayo fair play ipo tuna kwama mfano klabu bingwa dunia na world cup
Nb. Sijataka kuongelea waamuzi wetu wa TFF hawa wamekisha shindikana
Kwa alie tazama mechi ya Mazembe na Rs Berkane kayaona nliyokua nasema
Mazembe wamefanyiwa figusu halafu yule mfungaji wa Berkane anashangilia kishoga kwa madharau
africa kungekuwa na wamuuzi wasiokula rushwa wale simba hata makundi wasingeendaNajaribu kuwaza hawa waamuzi wanao chezesha michuano iliyo chini ya CAF wana matatizo gani ? ni kwamba hawana uelewa, wanafanya makusudi au kuna sheria za mpira ambazo zipo Africa kwingine hazipo?