Tatizo la waamuzi Africa limekosa tiba au ni udhaifu wa CAF

Ukingalia vizuri refa hakua na uhakika ndio maana akaanza kuwasiliana alishindwa nini kwenda kutazama VAR na mbona nme mention matukio mengi tu hapo iweje la Simba liwe big deal?
Mbona hukugusia tukio la Sakho kusukumwa dhahiri kwenye boksi na refa hakufanya kitu? Au mwenzetu macho yako yana makengeza?
 
Chuki dhidi ya simba ni kubwa sana kwa Tanzania ni kubwa sana bora tutolewe tu watu wapate amani maana vita kila kona mpaka unahisi watu kama kuna deni vile wanaidai simba .
Ni kawaida ya mahasidi wana vijicho vikali sana. Hawa watu wana roho mbaya sana na ndio maana hawafanikiwi.
 
VAR ilikuja kwasababu hakuna muamuzi duniani anaweza kuona kwa ufasaha matukio yote na kutoa maamuzi sahihi wakati wote

Nenda youtube ka search blanda za waamuzi wa ligi kubwa kabisa duniani zipo kibao tu
Na hata VAR imekuja lakini tatizo la waamuzi bado lipo pale pale epl laliga league one na kote duniani

Wenzetu makosa yapo na wanayachukulia kibinaadamu lakini sisi huku ndio msingi mkuu wa kuhalalisha kushindwa kwetu

Al Ahaly eti baada ya kufungwa majuzi kwenye ligi yao wanalia na marefa wanataka hizi game za mwisho waamuzi watoke nje ya afrika 😂😂😂
Naunga mkono hoja yako 100%
 
Nyie mapimbi mma onewa wivu kwa lipi? Mmetuzidi nini?
Kama hamuoni wivu kinachowafanya kutwa kujadili mechi za Mnyama ni nini? Nyie ndio mapimbi namba wani kazi uchawi, husda na viherehere kwa yasiyowahusu. Sisi huwezi kutulinganisha na wapumbavu wasiojitambua na hatulingani na nyie. Kwenye mashindano ya CAF tumeshacheza hadi fainali mwaka 1993 pengine wewe pimbi ulikuwa hujazaliwa.
 
Baada kufika final ikawaje mbona story unakatisha
 
Umezunguka weee ila mwisho wa siku tumekuona ulipo jificha kwenye pointi namba 5 .....

Ivi kwann ikicheza Simba inachafua hali ya hewa kwenye vijiwe vya Gahawa huko mliko?

View attachment 2192191
Achana na hao wajinga hawajui kuwa VAR hutumika tu pale kuna utata au malalamiko toka pande mmoja ndiposa referee huenda kujiridhisha. Sio kwa matukio ya wazi kama penalti ya Morrison
 
Ukingalia vizuri refa hakua na uhakika ndio maana akaanza kuwasiliana alishindwa nini kwenda kutazama VAR na mbona nme mention matukio mengi tu hapo iweje la Simba liwe big deal?
Hilo la Simba ndio lengo hasa la huu uzi hayo mengine yalikuwa ya kusindikiza na kuhalalisha uzi wako.

Kama ile penalty imekuuma nenda kakate rufaa.
 
Watu wengine sijui ni wachawi au ni mbungulu zinawasumbua hivi kweli mtu na akili na macho mawili, unatoa macho kuwa ile haikuwa penalt tuache. Uchawi, yaani jibu linarudia na kuangalia YouTube na bado linasema sio penalty duuuh! Sijui, nani amewaloga,
 
Back
Top Bottom