Tatizo la video kuganda kwenye VLC Player

Tatizo la video kuganda kwenye VLC Player

Spacefox

Senior Member
Joined
Aug 10, 2020
Posts
112
Reaction score
121
Habari wana JF na Techs, naomba msaada
Kompyuta yangu nikiplay video yenye resolution hubwa kama 1900*1080 inaganda sana

Taarifa za kompyuta:
Dell
Win 10
1.5Ghz atom
2gb RAM
Player VLC

Nifanye nini?
 
Nilikuwa na tatizo kama hilo,nilichokifanya nikudownload graphic drivers kwenye official website zao na kuinstall chap...baada ya hapo nainjoy tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom