mtaa umetulea
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 1,719
- 2,169
Jaribu na dawa ya meno changanga na mafuta ya naz na vimaj kidogo baada kama dk 10 uwe unachukua unapaka kweny dushe badae osha nenda kweny mechiNdivo nilivyofanya mkuu.
Siku ya kwanza sikufunga mfuko nikawahi kojoa kama kawaida ndani ya sekunde kadhaa. Siku ya pili nilifunga ndio nilipoingia kazini kama baada ya dakika 2 mashine ikalala ndo ikawa imetoka kwa masaa tele tu mbele. nimejaribu tena kama mara 3 matokeo ndio yale yale
Shukrani mkuuFanya mazoezi hasa gym piga cardio zaidi na squats utakua okay
Mkuu, nipo camp moja hivi, nina vijana nafanya nao kazi hizi dawa nimezikuta chumbani kwao, sizijui ndio maana nahitaji kujua.Mkuu una miak mingapi?una kilo ngapi? Na je huna maradhi mwilini mwako? Na je unatumia kilevi chochote kile? Au unavuta sigara? Ukificha kitu hutopata msaada wa mtu ukihitaji matibabu unitafute kwa wakati wako.
Mkuu, nipo camp moja hivi, nina vijana nafanya nao kazi hizi dawa nimezikuta chumbani kwao, sizijui ndio maana nahitaji kujua.
Asante mkuu, maelezo yanenitoshelezaView attachment 1695288
ni jamii ya Viagra, naona hapo umenielewa, zipa aina nyingi kwenye haya Maduka, unaweza kuta Kamagra, Novagra etc zinasaidia kusuuma msumuka wa damu kule kwenye via vya kujamiiana kwa mwanamume au mwanamke
madhara yake naona ni mengi km kushambulia mishipa midogo kwani inapoenda ule chini inasababisha macho, moyo hata kuhema
zipza gram tofauti km 50g au 100g
ukizidisha zinaweza sababisha kifo
ufanyaji wake wa kazi ni lazima uwe na feeling karibu na mwenza la sivyo hazifanyi kazi ni madhara km hayo ya moyo kwenda mbia; zinatumika kwa wenye mri mkubwa, wenye magonjwa ya presha, sukari , uchovu nk, unaweza tumia na hcohcote hata kilevi isipokuwa kuna mahali wamekataza Wine
ni dawa za uhakika kuliko vumbi la Mcongo na mshubati al kasusu nk
mengine sijui lkn ngoja kina Mzizi mkavu waje wao wana dawa mbadala na wanajua madhara yake
Jaribu na dawa ya meno changanga na mafuta ya naz na vimaj kidogo baada kama dk 10 uwe unachukua unapaka kweny dushe badae osha nenda kweny mechi
Kiukweli ni muda sana tangu nikumbwe na Hilo tatizo ambapo uume ulikuwa legelege/sometimes unasimama but ukitaka kuingiza au ukiingiza mwisho bao moja ti hiyo ndo mpaka kesho.
Tatizo Hilo lilikuwa kero sana kwangu na hiyo ilinipelekea kukata tamaa kabisa ya kuoa.Nililifanya kuwa Siri kubwa so kujificha na tatizo Hilo nilijiingiza katika utumiaji was Viagra/Errecto ili niweze kufanya.
Ilifika pointi nikawa najuta sana na kujionea huruma but niliamua kushea kwa mtu wangu wa karibu,daah uwez amini alinisaidia kupata dawa flan ya kienyeji kwakweli hiyo dawa ni komesha asee.
Sipo kufanya matangazo ila mwenye serious problem usikate tamaa suluhu za matatizo zipo.
Binafsi nataman kila mmoja apone,kwa maana kwa mwanaume ata uwe tajiri kiasi gani Ila kma kufanya tendo huwez basi ni Bora maskinj mwenye nguvuAsa unatusaidiaje mzee
Ni Dawa ya Viagra ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume unaitumia nusu kidonge unakula kabla ya kufanya mapenzi utakuwa na nguvu za kiume kwa muda wa masaa 24 lakini mpaka umpate ushauri wa Daktari.Mkuu, nipo camp moja hivi, nina vijana nafanya nao kazi hizi dawa nimezikuta chumbani kwao, sizijui ndio maana nahitaji kujua.
Binafsi nataman kila mmoja apone,kwa maana kwa mwanaume ata uwe tajiri kiasi gani Ila kma kufanya tendo huwez basi ni Bora maskinj mwenye nguvu