tatizo la umeme vipi?

tatizo la umeme vipi?

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
16,382
Reaction score
21,050
samahani bandugu mlioko nyumbani maana naona sasa mko kimya ni vipi nuru imerudi hapo nyumbani?i mean umeme vipi mgao umekwisha?nahitaji tu kujua maana niliahirisha kasafari cha kuteremka ili nisikutane na kero za hicho kiza,tujulishane ili tugongane huko soon
 
Umeme upo sasa masaa 24, we njoo tu bongo.
 
Umeme upo sasa masaa 24, we njoo tu bongo.
kama kweli ngoja nianze kukusanya virago,ukinifix ntakutafuta mpaka nikupate nawewe nikufix uone raha yake.
 
Back
Top Bottom