[/QUOTE]Bali nakushauri unapotaja wachaga zingatia maeneo na aina ya wachaga. HAWA victim ni WAROMBO.unaposema wachaga wote unakosea. Mchaga WA uru marangu,au kilema umeskia nini kutokakwao
cc. Asprin
Hahahahaha kumbe wewe ni Mrombo
Nilikuwa naangalia kwenye ripoti maalumu ITV wanatengeneza wenyewe hata TBS hawajui nini ?rombo ulevi kwao ni kama ajira wanasema ajira hamna sasa kama mtu hana nguvu hata kumpa mke wake haki ya ndoa nguvu ya kufanya atapata wapi wapi?Ulevi rombo ni janga la kitaifa, kuna pombe za kila sampuli, banana ndo usiseme, kuna vipombe vya kienyeji vya mia mbili mbili na mia tatu vina majina kibao, sidhani kama hata tbs wanavijua.
Dar express kutoka dar- moshi 30000 .moshi -rombo 5000 itakuwa 35000Naomba kujua nauli ya basi toka Dar mpaka Rombo najua chakula na hela ya gesti nitapata huko huko
Wameshakuwa watumwa wa pombe nguvu zote zimeishia kwenye pombe kesho naenda kikazi huko ntawaletea mrejesho.Saa 12 asubuhi watu washalewa, eti wanadai wanazimua ile waliyokunywa usiku, ujinga kweli huo.
Ha ha ha ...Mimi sio CHADEMA mkuu!
Ngoja sisi tutangulie mtatukuta tumeanza kazi.
Kwa wasionifahamu mimi ndiyo huyo anayeonekana juu ya paa.
Wakuu niunganishieni namimi hiyo dili,mie nipo bongo tu hapa, nasukuma mpini kama makonde ya JONI SINA
Baadhi ya wanawake wa Rombo inadaiwa wanakodi wanaume kutoka Kenya ili kufanya nao ngono kutokana na tabia za ulevi za wanaume wao kuzidiwa ulevi na kushindwa kufanya tendo la ndoa. View attachment 252883
Dar express kutoka dar- moshi 30000 .moshi -rombo 5000 itakuwa 35000
Tegemeeni mbegu chotara Rombo, nakwenda na nazi zangu pamoja na mihogo.