KERO Tatizo la Uhaba wa Maji, Ubungo Msewe

KERO Tatizo la Uhaba wa Maji, Ubungo Msewe

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Habari,
Kuna uhaba mkubwa wa maji baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam (Ubungo Msewe).

Kwa hali hii ya hewa kukosa maji ni jambo la hatari sana, ukizingatia sisi ni watanzania walipa kodi.

Hivi karibuni serikali imetangaza fungu la El nino huku mwenyekiti wa bodi DAWASA akijitapa kuimarisha miundombinu.

Tunahitaji suluhisho la shida ya maji, Viongozi wa ngazi za juu kama hamna habari mnahujumiwa huku walipa kodi na wapiga kura hali sio nzuri kabisa.

Tuna amini tumewasilisha taarifa, hakuna sababu ya kuipoteza Imani yetu hata kwa mambo madogo kama maji tuu.
 
Msewe tatizo la maji ni la kudumu. Nimewahi kukaa mitaa hiyo, nilihama sababu ya maji.
 
Back
Top Bottom