A
Anonymous
Guest
Hii shida tunapigia kelele miaka nenda rudi. Dar haina shida ya maji, lakini Goba ni zaidi ya ukame, maji kutotoka miezi miwili ni jambo la kawaida.
Saa nyingine maji yatatoka mtaa wa juu, wa chini wote hampati maji.
Ni changamoto sana, kununua deli moja ya maji sasa hivi ni elfu 20 kutoka elfu 15. Kwa familia ya watu watatu mpaka wanne, deli moja hutosha si zaidi ya wiki. Kwa mwezi gharama si chini ya elfu 80.
Tayari gharama za maisha zipo juu, kuongezewa gharama ya maji ni maumivu zaidi.
Kama kuna changamoto isiyotatulika juu ya hali ya maji Goba ni vyema DAWASA waweke wazi.
Pia soma ~ DAWASA: Matengenezo mpiji yamekamilika, kazi ya usambazaji maji inaendelea