Tatizo la Space Nokia Lumia 1020

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,285
9,922
Naomba msaada wenu wajuzi nina simu ya Nokia Lumia 1020 hapa juzi ilianza tatizo la kuonyesha space imejaa nimpelekea jamaa aka fanya backup ya files zangu na kurestart na kui update to window 10

Baadaye ikainstall app ninazozitaka baada ya siku chache naona tena inaonyesha spece imejaa nimeajaribu kuangalia nimeona kwenye app na game ambayo ndiyo inachukuwa nafasi sioni shida

Naomba msaada wenu tatizo ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu hio simu mwisho ni windows 8.1, windows 10 sio yake umei forcehi downgrade kuenda 8.1 uta enjoi alafu change format ya image unazo piga picha maana hio ina 41mega pixel so picha lazima ziwe heavy.
 
Back
Top Bottom