Abuwhythum
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 838
- 496
Nenda setting Kisha tafuta storage Iache sekunde kadhaa itakuonesha stats muhimu za storage yako kutokea hapo utapata mwanga vitu gani vinajaza simu.Nina simu aina ya Samsung Galaxy A30, kila mara inaonesha internal memory full, na inashindwa ku-operate kabisa, hadi ninalazimika kuzima simu na kuiwasha tena ndio kidogo inakuwa na free space.
Ikizingatiwa sijaweka vitu vingi vya kuifanya ijae. Sasa ninashindwa kuelewa iwapo hii simu ni fake au tatizo ni nini? Maana simu ina internal ya 64GB.
MSAADA JAMANI KWA MWENYE USHAURI WA JUU YA NINI NIFANYE ILI KUONDOA TATIZO HILI.
Inaonesha others sasa haijulikani hiyo others ni vitu ganiNenda setting Kisha tafuta storage Iache sekunde kadhaa itakuonesha stats muhimu za storage yako kutokea hapo utapata mwanga vitu gani vinajaza simu.
Caches zinapatikana wapi mkuu kwenye simu..?Clear caches Mkuu zinajaza sna space
Unaweza weka screenshot tuiangalie vizuri?Inaonesha others sasa haijulikani hiyo others ni vitu gani
Ofkozi haiwezi kuwa Tecno... tecno inaweka mafiles kwenye betri. Kila unapochaji simu yanajifutalazima itakuwa samsung
Caches zinapatikana wapi mkuu kwenye simu..?
Ofkozi haiwezi kuwa Tecno... tecno inaweka mafiles kwenye betri. Kila unapochaji simu yanajifuta
Hilo la kupigwa nakubaliana na wewe,kapewa A 31 copyIyo cm aidha umepigwa au RAM babu RAM mzee RAM ndo tatzo