Tatizo la playstore kwenye simu naomba msaada

Tatizo la playstore kwenye simu naomba msaada

Wustenfuchs mkuu nisaidie wazo jingine..... Hilo haliwezi

Ingia kwenye dial ya phone yako, weka codes hizi.

*#*#4636#*#*

Kuna window itafunguka, sasa nenda kwenye option ya kwanza(phone information)

Sasa hapo, scroll mpaka utakapopata option ya "set preferred network type"
Hapo sasa unaweza chagua network mode unayotaka.

Hizo nyingine achana nazo, we cheza tu na hapo kwenye network type.
 
Attachments

  • 1427342556949.jpg
    1427342556949.jpg
    20.6 KB · Views: 181
  • 1427342583729.jpg
    1427342583729.jpg
    31.9 KB · Views: 166
Last edited by a moderator:
Ingia kwenye dial ya phone yako, weka codes hizi.

*#*#4636#*#*

Kuna window itafunguka, sasa nenda kwenye option ya kwanza(phone information)

Sasa hapo, scroll mpaka utakapopata option ya "set preferred network type"
Hapo sasa unaweza chagua network mode unayotaka.

Hizo nyingine achana nazo, we cheza tu na hapo kwenye network type.

Nime try. Hakuna response yoyote baada ya ku dial hizo codes
 
Wustenfuchs yani hii simu yani ina options ya preffered networks. Lakini hakuna option ya kuchagua network types/mode either WCDMA,GSM ..... Yani iko automatic dual... Inachagua yenyewe. Inaniboa sana mpaka naichukia sasa
 
Last edited by a moderator:
[QUOTE

Mkuu nitafanyaje ili simu ya tecno P5 iweze kutumia mode ya 3G?
chiefmkwawa
 
Last edited by a moderator:
[QUOTE

Mkuu nitafanyaje ili simu ya tecno P5 iweze kutumia mode ya 3G?
chiefmkwawa

menu then setting then kwenye wireless and network click more network then mobile network kwenye network mode eka wcdma only utapata 3g.
 
Last edited by a moderator:
ukienda setting about software update hamna hio setting?

kama umeshindwa alternative ni kutafuta simu nyengine unga bundle halafu jitengenezee wifi kupitia tethering and hotspot halafu update

Mkuu nimejaribu kutumia tethering hotspot kati ya simu moja na nyingine, nimefanya sime ninayotaka kupata net naiweka hotspot on na hii ninayotaka kui update kuwa kwenye WI-FE on lakini haidetect sim ile nyingine, je nifanye nini ili iweze kudetect? pia je naweza kutumia laptop kutengeneza shared wiress network. naomba nisaidie mkuu
 
hebu taja aina za simu au os zake
 
Os ni android ila version zinatofautiana, moja n Motorola moto e, nyingine n tecno

kama zote ni android then kuna sehemu unakosea. make sure simu inayoconect na wifi umeeka wifi on. ni nadra sana kutokea hotspot haifany kazi

unaweza tengeneza wifi kwa laptop ila ni ngumu compare na simu. unaweza tumia software kama virtual router au mhotspot
 
kwa kweli playstore hivi sasa imekuwa majanga , njia pekee ninayopenda kuwashauri ni kuintall application inatwa 1mobile market nenda www.market.1mobile.com sehemu ya download kupitia hiyohiyo browser unayotumia , usi iche idownload kwa playstore ikimaliza kuinstall fungua hapo ni burudani ipo fasta na unapata application zote free hakuuzwi application humo, na unaitumia hata kama huja set google account
 
Back
Top Bottom