Tatizo la playstore kwenye simu naomba msaada

chipalila1

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
259
Reaction score
32
Wataalam play store inagoma kufunguka nikifungua connection time out wakati net iko vizuri.

Naomba msaada nifanyeje?
 
Just restore Hiyo cm kilak2 kitakaa sawa
 
nenda setting==>apps manager==>playstore then clear data/cache

Kwangu nikitumia Internet ya tigo au wifi, playstore inafanya kazi, ila nikitumia voda inagoma inaniandikia redeem your code. Nimezi clear hizo data na cache bado imegoma.
 
voda na airtel wana katabia ka kueka setting za wap ambazo ni za kizamani sana, kama unajua kubadili setting za internet katengeneze mpya itakayokuwa na apn ya internet.

kama hujui kutengeneza setting za internet nenda hapa

https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/561380-play-store-imegoma.html
 
Ahsante Mkuu nimefanikiwa,. But kuna issue nyingine ya Ku update android version simu yangu n Motorola moto e ina android version 4.4.1 iliniletea ujumbe wa Ku update but inadai Wi-Fi network, nilpoenda kwa fundi akaniambia haiwez Ku update android version hadi ai root simu je kuna ukwel hapo,. Na he nifanyeje ili ni update android version.? Msaada Mkuu kwa hayo machache
 
duh fundi kimeo huyo.

nenda setting then about halafu software update. utakuta setting pale inayolazimisha wifi uncheck kile kibox kilichoandikwa wifi only. au ikija ile notification ya ku update kwa chini utaona kuna kibox kimeekwa tiki cha wifi uncheck kile kitiki kikiondoka utaweza update na mobile data.

ila make sure una bundle ya kutosha

hio moto e ulinunua hapa tanzania?

images_5.jpg
 
Wataalam play store inagoma kufunguka nikifungua connection time out wakati net iko vizur. Naomba msaada nifanyeje?

Hilo ttz nalijua, bila shaka mkuu unatumia line ya Voda.
So for that case nenda tu moja kwa moja kwenye apn. Jaza corect details kama hv.
Name: Vodacom internet
APN: Internet.

Kwa tigo na mitandao mingine huwa haina shida, unaweza jaza unavyotaka ila kwa Voda n tofauti, japo unaweza ku strea youtube ila playstore inakuwa ni ishu.

Fanya hivyo, utasolve hilo tatizo.
 
voda na airtel wana katabia ka kueka setting za wap ambazo ni za kizamani sana, kama unajua kubadili setting za internet katengeneze mpya itakayokuwa na apn ya internet.

kama hujui kutengeneza setting za internet nenda hapa

https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/561380-play-store-imegoma.html
Niilifanikiwa kubadili setting na Playstore ikakubali kufanya kazi, ila ningependa kujua ni kwa nini setting zikiwa kwenye WAP playstore haifanyi kazi.
 
setting za wap zina proxy za mtandao. zimetengenezwa kwa ajili ya simu za kizamani kabla ya symbian mwishoni mwa miaka 90 hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000.

simu hizi za kizamani browser zake zilikuwa hazina uwezo wa kisasa kuload mambo yote ya internet hivyo zikawa zinasaidiwa na proxy za hii mitandao.

proxy pia inaweza kutumika kum spy mtu maana kila unachofanya lazima kipitie kwenye hii proxy, google yeye haruhusu app zake kutumiwa na proxy hivyo ukitumia playstore huku una proxy then app italeta error

sijui kwanini voda na airtel wanaeka hizi setting kwenye smartphone ila likely ni sababu hizi mbili

1. uzembe wa mfanyakazi anaehusika
2. wanafanya makusudi ili usimalize kifurushi cha data sababu wap inakulimit mambo mengi
 
Thx Mkuu but nimefuata maelekezo kama ulivyo elekeza lakini hamna option ya Ku disable Wi-Fi, niki chagua system update inaniletea ujumbe huu"this update is only available for download over Wi-Fi only. W'll start download as soon as a connection is discovered."

Hii simu nilinunua online@ chief Mkwawa
 
Hilo ttz nalijua, bila shaka mkuu unatumia line ya Voda.
So for that case nenda tu moja kwa moja kwenye apn. Jaza corect details kama hv.
Name: Vodacom internet
APN: Internet.

Kwa tigo na mitandao mingine huwa haina shida, unaweza jaza unavyotaka ila kwa Voda n tofauti, japo unaweza ku strea youtube ila playstore inakuwa ni ishu.

Fanya hivyo, utasolve hilo tatizo.

Ahsante mkuu nmefanikiwa
 
Thx Mkuu but nimefuata maelekezo kama ulivyo elekeza lakini hamna option ya Ku disable Wi-Fi, niki chagua system update inaniletea ujumbe huu"this update is only available for download over Wi-Fi only. W'll start download as soon as a connection is discovered."

Hii simu nilinunua online@ chief Mkwawa

ukienda setting about software update hamna hio setting?

kama umeshindwa alternative ni kutafuta simu nyengine unga bundle halafu jitengenezee wifi kupitia tethering and hotspot halafu update
 
Chief_mkwawa simu haina options ya network mode.... Inakaa yenyewe automatic either 3G or 2G je unaweza nisaidiaje ili nitumie 3G only..
 
Last edited by a moderator:

Ingia playstore, tafuta app kwa keyword "3g switch" then install, ukiifungua, itakupeleka hadi kwenye 3g mode only, hapo utweza seti 3g only.

Enjoy!
 
Nilishafanyaga.... Actually hai function kabisa...kwasababu haina option hiyo
 
Wustenfuchs mkuu nisaidie wazo jingine..... Hilo haliwezi
 
Attachments

  • 1427341649725.jpg
    1427341649725.jpg
    41.1 KB · Views: 172
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom