heri yako refund zinaingia, wengine hatuzioni hata hizo nusu, na huduma kwa wateja ni sifuri...WIZI MTUPU!
Sipo Dar nipo mkoani, nimeenda mara nyingi sana crdb headquarter, Arusha Branch, nimewaeleza yote lakini sikuwahi kupata ufumbuzi wa tatizo langu. Unanishauri nifunge safari hadi makao makuu Dar??Mkuu mimi nadhani hapa Siyo sehemu sahihi ya kutatua tatizo lako, Naomba uende cRDB hq second floor uliza idara inayohusika na mambo ya kadi. Au Tuma email CRDB customer care Mkuu! Hili ni tatizo DOGO sana
What i understand is this
PayPal Hawana wakala here in Tanzania so hatuwezi kureceive payment WHY
Our banks hawaja jiregister na Paypal
So tunaweza kutuma tuu
Na if you're money refunded back on your PayPal account
Dont withdrawal it
Ingia kwa website fungua payoneer register with them
It will take yu karibia miezi miwili kupata card yao ya
Payoneer master card
After hapo unauwezo wa kuhamisha pesa zako
From paypal account to payoneer ambapo unaweza kuzitoa katika ATM mashine yeyote inayokubali mastercard
Natumaini umenielewa
inasikitisha sana mkuu, miezi miwili iliyopita nilipokea refund kwa transactions 5, kati ya hizo tano ni moja tu ndio iliyorudi in full. Zingine zote mpaka sasa hazijarudi kabisa. Niliwafuata CRDB wiki iliyopita lakini habari ni ile ile, kuandika barua na kusubiri. Nafkiri kuna idara ndani ya crdb inayohusika na hizi internet transactions na ndio wanaobana pesa zetu..
mkuu nimekuelewa, lakini kama nilivyosema hapo awali, kuna transactions zinaingia in full bila shida yoyote na zingine haziingii kabisa na pia zingine zinaingia kwa kukatwa. Sipo na Statement ya mwezi uliopita inayoonyesha moja ya transaction refund iliyoingia in full, nitaitoa alafu niweke hapa uone. Nafkiri PayPal haina shida na bank accounts zetu, tatizo ni loyalty ya wafanyakazi kwenye benki zetu..What i understand is this
PayPal Hawana wakala here in Tanzania so hatuwezi kureceive payment WHY
Our banks hawaja jiregister na Paypal
So tunaweza kutuma tuu
Na if you're money refunded back on your PayPal account
Dont withdrawal it
Ingia kwa website fungua payoneer register with them
It will take yu karibia miezi miwili kupata card yao ya
Payoneer master card
After hapo unauwezo wa kuhamisha pesa zako
From paypal account to payoneer ambapo unaweza kuzitoa katika ATM mashine yeyote inayokubali mastercard
Natumaini umenielewa
What i understand is this PayPal Hawana wakala here in Tanzania so hatuwezi kureceive payment WHY Our banks hawaja jiregister na Paypal So tunaweza kutuma tuu Na if you're money refunded back on your PayPal account Dont withdrawal it.
Ingia kwa website fungua payoneer register with them It will take yu karibia miezi miwili kupata card yao ya Payoneer master card
After hapo unauwezo wa kuhamisha pesa zako From paypal account to payoneer ambapo unaweza kuzitoa katika ATM mashine yeyote inayokubali mastercard
Natumaini umenielewa
Dragondreamx ushauri wako mzuri sana, hasa kuhusu kufungua payoneer acc mimi nimeshafungua acc kwao, ila mbona inachukua muda mrefu kupata kadi yao?? je ni vitu gani vinawezasababisha usikubaliwe???
What i understand is this PayPal Hawana wakala here in Tanzania so hatuwezi kureceive payment WHY Our banks hawaja jiregister na Paypal So tunaweza kutuma tuu Na if you're money refunded back on your PayPal account Dont withdrawal it.
Ingia kwa website fungua payoneer register with them It will take yu karibia miezi miwili kupata card yao ya Payoneer master card
After hapo unauwezo wa kuhamisha pesa zako From paypal account to payoneer ambapo unaweza kuzitoa katika ATM mashine yeyote inayokubali mastercard
Natumaini umenielewa
pole sana mkuu #Rene Jr .kaka mimi nilishapoteza mara nne, jumla karibia 3M, niko mkoani....nachojibiwa ni "tutajuaje kama kweli pesa umerudishiwa?"......"kama hao paypal wamekudanganya?"...fk!
pole sana mkuu #Rene Jr .
hii hapa transaction ya tarehe 10 Nov, 2014 kiasi cha shilingi 31,907.76 kilikatwa na tarehe 18 Dec, 2014 nikapokea Refund kiasi hicho hicho cha 31,907.76/=. Sasa sielewi kwanini refund zingine zinakatwa, zingine hazikatwi na zingine haziingizwi kabisa.
View attachment 223565
View attachment 223568
Ni vema ungeweka kiasi cha transaction kwa USD au any other foreign currency ili labda tu estimate labda kipindi una nunua mzigo na kipindi unapata refund Conversion rate hazikuwa sawa
assuming exchange rate hucheza 1694 mpaka 1776
Mfano 1776tzs nimewai kupigwa huko Amazon maana wana include na TAX kwenye conversion rate
Haya ndo maneno walinambia mara ya mwisho hawa CRDB kwamba siku hela inaingizwa kwenye acct itaingizwa kwenye conversion rate ya siku hiyo hiyo na sio siku ulipofanya purchase maana ndo option rahisi
Inshort niliamua ku abandon CRDB mm maana wamekaa na 800,000/= ya refund kwa mwaka mzima ila baade nilipanda kule kwenye department nikawakomalia mpaka wakaiweka maana nilileta attachments,niliandika barua lkn sikupata mssaaada wowote
Asante mkuu, ntafanyia kazi kama ulivyonishauri.Mkuu tuma tatizo lako ukiambatanisha Na vielelezo vyako vyote customer-hotline@crdbbank.com; pia ukiona hupati ushirikiano ingia kwenye website ya crdbbank Plc, hapo utakuta email za wakurugunce wote wa Crdb escalate issue yako: na kuhakikishia masaa 12 Ni Mengi Swala lako litakuwa limekwisha!
Ni kweli kabisa mkuu, ni loophole kubwa sana hiyo na usipokuwa mfuatiliaji hautajua kama unaibiwa. Najaribu kufikiria ni watu wangapi wamefanya online transactions kwa miaka kumi iliyopita na ni kiasi gani kimeshaibiwa kimya kimya mpaka sasa. Hii lazima ifike mwisho, ikiwezekana kufungua kesi mahakamani kabisaCrdb wameshaona hapa ndipo pa kulia
Mie kuna siku nilienda CRDB nikawaambia kuwa nataka nifungue account yangu nyingine kwa ajili ya kufanya transaction online..
Wakanikatalia eti siwezi kuwa na account mbili so natakiwa nitumie account yangu hii hii ndio nituimie kununulia vitu online nikawaambia siamini ununuzi wa vitu online ndio maana nataka nifungue account nyingine separate ili acc ya kununua vitu online iwe na pesa ya kununulia vitu online tu
Wakakataa
Nilichogundua ni kwamba wameona watakosa pesa ya kuiba
Ndio maana wamekataa
Infact mm CRDB Master card imeniumiza sana nimepata refunds nyingi sana lakini huwa haziwekwi automatically na hata nikiwatumia email au kwenda pale AZIKIWE nikawapa Printed email bado huwa hawafanyi hivo...Ni kweli kabisa mkuu, ni loophole kubwa sana hiyo na usipokuwa mfuatiliaji hautajua kama unaibiwa. Najaribu kufikiria ni watu wangapi wamefanya online transactions kwa miaka kumi iliyopita na ni kiasi gani kimeshaibiwa kimya kimya mpaka sasa. Hii lazima ifike mwisho, ikiwezekana kufungua kesi mahakamani kabisa
Mkuu mimi nadhani uende cRDB hq second floor uliza idara inayohusika na mambo ya kadi. Au Tuma email CRDB customer care Mkuu! Hili ni tatizo DOGO sana