EzekielErsoni gitaya
New Member
- Feb 2, 2015
- 4
- 0
FIKIRI kabla yakufanya jambo usikurupuke
That was just your luck bro. May be banker aluyefanya transaction reversal siku hiyo alikuwa kachoka, but kiuhalisia ilikuwa lazima iendane na selling rate or buying rate, so isingeweza kufanana hata kama ingerudishwa siku hiyo hiyonaelewa vizuri kuhusu fluctuations, lakini kama utarudi nyuma kidogo kwenye post yangu ya mwanzo uangalie ile transaction nilipokea full refund refund bila kukatwa ungeelewa ninachomaanisha..
Habari zenu wakuu. Nahitaji msaada kutoka kwa wale wazoefu wa internet transactions.
Nimekuwa nikifanya purchases online either kununua bidhaa au kulipia huduma mbali mbali kwa muda wa miaka 6 sasa toka 2009. Benki yangu ni CRDB na natumia Debit card ya VISA. Nilijiunga na PayPal na kuverify account yangu so huwa nafanya malipo kiusalama zaidi kupitia PayPal.
Mara nyingi ninapofanya malipo ya bidhaa au kulipia huduma huwa napokea bidha zangu successfully na hata nisipozipokea huwa napata refunds kupitia PayPal.
Mwaka juzi nimegudua kuwa kuwa baadhi ya Refunds zangu huwa haziingii kikamilifu kama zinapotoka. PayPal huwa wanarefund kiasi kile kile cha fedha kilichokatwa kwenye account, na kwa kutumia Exchange Rate ile ile ya original transaction. Kuna baadhi ya Refunds zinaingia kikamilifu na zingine zinarudi zimekatwa.
Huu hapa mfano wa transaction ambayo haikurudi kikamilifu. Chini yake ni email ya PayPal wakinitaarifu kuwa wameRefund pesa yangu in full. Original transaction nililipa 2,170,053.72/= na baada ya kupata Refund zikaingia 2,021,349.38/= tu. Hapa Imekatwa almost 150,000/= kirahisi kabisa.
View attachment 223549
View attachment 223558
View attachment 223545
hii hapa refund transaction iliyoingia kikamilifu. Tarehe 10 Nov, 2014 kiasi cha shilingi 31,907.76 kilikatwa na tarehe 18 Dec, 2014 nikapokea Refund kiasi hicho hicho cha 31,907.76/=. Sasa sielewi kwanini refund zingine zinakatwa, zingine hazikatwi na zingine haziingizwi kabisa.
View attachment 223565
View attachment 223568
nilienda CRDB nikawaeleza tatizo langu wakaliona na waliniambia niandike barua watashughulikia swala langu. Niliandika barua na kuacha contacts ili wanipatie feedback lakini mpaka leo hii sikuwahi kujua ni wapi ziliibiwa.
Niliwaandikia PayPal kuwataarifu kuwa refund zangu zinaingia zikiwa pungufu na walinijibu kuwa wao huwa wanarudisha kiasi kile kile kwenye VISA Card iliyotumika kufanya original transaction kwahiyo niendelee kufuatilia na Bank yangu.
Nataka kujua kama wenzangu mnaofanya online transactions mnakumbana na kitu kama hiki au inakuaje? Pia nafikiria kuihama CRDB nifunge account yangu nitafute Bank nyingine ambayo haina magumashi.
Shukrani..