Tatizo la PayPal Refunds kwenye CRDB Account

Tatizo la PayPal Refunds kwenye CRDB Account

Infact mm CRDB Master card imeniumiza sana nimepata refunds nyingi sana lakini huwa haziwekwi automatically na hata nikiwatumia email au kwenda pale AZIKIWE nikawapa Printed email bado huwa hawafanyi hivo...
Wakati mwingine huwa napotezea sababu vinakua vihela kidogo kama 7$-15$

Ila ukweli kwamba tokea nimeanza haya manunuzi wamekula hela nyingi ila sasa unafatilia afu wasipokushughulikia unapotezea maana hizo route za kuja Posta mda nao unabana...

USHAURI: Ukienda Azikiwe Branch kama unataka solution ya fasta omba kuonana na wataalamu wa kitengo cha Onlind purchase hapo ndo utapata solution same day or next day...

Utakuwa unaenda bank mara ngapi kufuatilia hela zako??
 
Nashkuru sana mkuu #Njunwa wamavoko kwa kukubali kuwa crdb kwenyewe kuna tatizo. Hiyo transaction hapo juu ni ya USD 1295 na exchange rate ya siku ile ya transaction ilikuwa 1,675.72/= iliyokata kiasi cha 2,170,053.72/=. Siku tano baadae wakaweka Refund ya shilingi 2,021,349.38/= ambayo ina maana ukifanya computation ya exchange rate unapata 1,560.88/=/$. Ambayo sio kweli, dollar haikushuka hivyo ndani ya wiki moja. Nilifikiri hivyo pia mwanzoni na baada ya kumwonesha afisa mmoja wa crdb Arusha akanishauri niandike barua. Barua niliandika lakini baada ya wiki mbili za ufuatiliaji nikaona kama najisumbua vile. Ntachukua ushauri wako wa kwenda makao makuu kabisa kama wewe ulivyofanya. Ila ni wazi kabisa wafanyakazi CRDB kitengo husika wanatuibia sana hela zetu

I stand corrected, mnaojua uchumi nielewesheni.

Buying and Selling prices za dollar($) may vary up to 100+/=, mfano leo exim buying price ni 1727/= and selling price ni 1837/= difference ya 110/=.
So in your case, could it be one rate was when you paid and one rate when they refunded you? which could explain your loss.
My theory is based on a similar experience na Western Union, in which I lost money just like you did but ilikuwa kidogo so I never bothered kufuatilia vizuri.
 
Hii imekaa vizuri, nimeelewa idea yako #ub16, lakini hata kama ni hivyo, kwanini hawajaweka refunds zangu zingine mpaka leo, ntawasiliana na hq nirudishe feedback hapa
 
GUYZ MNATAKIWA MUELEWE EXCHANGE RATE ZA MABANK YETU NI ZA KISENGE
SO KAMA INWEZEKANA WAAMBIE WAKUPATIE PESA YAKO ikiwa kama USD
 
GUYZ MNATAKIWA MUELEWE EXCHANGE RATE ZA MABANK YETU NI ZA KISENGE
SO KAMA INWEZEKANA WAAMBIE WAKUPATIE PESA YAKO ikiwa kama USD
Naamini kuna kitu kimejificha ndani ya haya yote, kwasababu kama ingekuwa ni swala la exchange rate, ni lazima kujiuliza ni kwanini hiyo refund yangu ingine imerudi in full bila kukatwa chochote as the original payment amount, na ilishapita siku 34 toka siku niliyolipia, lazima exchange rate ingebadilika tu, tena miezi hii miwili dola ilikuwa ikipanda karibu kila siku,,
 
Utakuwa unaenda bank mara ngapi kufuatilia hela zako??
Mkuu ukipokea refund ya mpunga mrefu kama Upo Dar utaenda tu unakua hauna ujanja...
Mm nilikua naenda Branch ya Masaki kule maana ndo nilifungulia acct kawa napewa tu faraja kwamba hela itarudi ndani ya mwezi....mwezi ukawa miezi ikabidi nianze route za Azikiwe
 
Ujinga mwingine wa CRDB ni ile ukiwa unanua kwenye site ambazo hazitumii paypal e.g aliexpress

Umeweka hela kadhaa kwenye account yako tayari kwa kununua kitu...

Ukifanya attempt ya kwanza unaambiwa wameshindwa ku process hiyo transaction
Unajaribu trial ya pili unaambiwa kuna insufficient funds kwenye account...
Naishi Karibu na ATM mashine ya CRDB nikienda kucheki balance nakuta hela imekatwa...

Kesho yake au baada ya couple of days naenda kuwacheki pale customer care wananipa Bank statement nakuta hela imekatwa nawakomalia wananipadishe kwenye Department kule nakuta kwao kule hela inasema BLOCKED ila bank statement ya kawaida imekatwa kesho wanairudisha

Daah CRDB pasua kichwa na kuna siku wamelima hela mara mbili ya kwanza inakua Blocked ya pili ina pitishwa successfully ila bank statement ya Online purchase ndo inaweza kuonesha reality zile nyingine zinaoneshwa hela imekatwa na kwenye acct inakua inekatwa kweli

Inshort inabidi uwe unafatilia kwa makini bank statements iwapo unaweka hela nyingi kwenye account yako ya Online purchase
 
Crdb wameshaona hapa ndipo pa kulia

Mie kuna siku nilienda CRDB nikawaambia kuwa nataka nifungue account yangu nyingine kwa ajili ya kufanya transaction online..

Wakanikatalia eti siwezi kuwa na account mbili so natakiwa nitumie account yangu hii hii ndio nituimie kununulia vitu online nikawaambia siamini ununuzi wa vitu online ndio maana nataka nifungue account nyingine separate ili acc ya kununua vitu online iwe na pesa ya kununulia vitu online tu

Wakakataa

Nilichogundua ni kwamba wameona watakosa pesa ya kuiba
Ndio maana wamekataa

Toka crdb ianze kuchukua wanafunzi wa UDOM na MUCCOBS, TIA, CBE, SAUT na MUM incomptence imshika kasi sana, nawashauri warudi kwenye asili yao UDSM, MZUMBE na SUA.
 
Habari zenu wakuu. Nahitaji msaada kutoka kwa wale wazoefu wa internet transactions.

Nimekuwa nikifanya purchases online either kununua bidhaa au kulipia huduma mbali mbali kwa muda wa miaka 6 sasa toka 2009. Benki yangu ni CRDB na natumia Debit card ya VISA. Nilijiunga na PayPal na kuverify account yangu so huwa nafanya malipo kiusalama zaidi kupitia PayPal.

Mara nyingi ninapofanya malipo ya bidhaa au kulipia huduma huwa napokea bidha zangu successfully na hata nisipozipokea huwa napata refunds kupitia PayPal.

Mwaka juzi nimegudua kuwa kuwa baadhi ya Refunds zangu huwa haziingii kikamilifu kama zinapotoka. PayPal huwa wanarefund kiasi kile kile cha fedha kilichokatwa kwenye account, na kwa kutumia Exchange Rate ile ile ya original transaction. Kuna baadhi ya Refunds zinaingia kikamilifu na zingine zinarudi zimekatwa.

Huu hapa mfano wa transaction ambayo haikurudi kikamilifu. Chini yake ni email ya PayPal wakinitaarifu kuwa wameRefund pesa yangu in full. Original transaction nililipa 2,170,053.72/= na baada ya kupata Refund zikaingia 2,021,349.38/= tu. Hapa Imekatwa almost 150,000/= kirahisi kabisa.

View attachment 223549

View attachment 223558

View attachment 223545

hii hapa refund transaction iliyoingia kikamilifu. Tarehe 10 Nov, 2014 kiasi cha shilingi 31,907.76 kilikatwa na tarehe 18 Dec, 2014 nikapokea Refund kiasi hicho hicho cha 31,907.76/=. Sasa sielewi kwanini refund zingine zinakatwa, zingine hazikatwi na zingine haziingizwi kabisa.

View attachment 223565

View attachment 223568

nilienda CRDB nikawaeleza tatizo langu wakaliona na waliniambia niandike barua watashughulikia swala langu. Niliandika barua na kuacha contacts ili wanipatie feedback lakini mpaka leo hii sikuwahi kujua ni wapi ziliibiwa.

Niliwaandikia PayPal kuwataarifu kuwa refund zangu zinaingia zikiwa pungufu na walinijibu kuwa wao huwa wanarudisha kiasi kile kile kwenye VISA Card iliyotumika kufanya original transaction kwahiyo niendelee kufuatilia na Bank yangu.

Nataka kujua kama wenzangu mnaofanya online transactions mnakumbana na kitu kama hiki au inakuaje? Pia nafikiria kuihama CRDB nifunge account yangu nitafute Bank nyingine ambayo haina magumashi.

Shukrani..

una akaunti ya dola au madafu ? tuanzie hapo mkuu.
 
Kutumia account ya Tsh kwenye paypal is pure recklessness, CRDB/Paypal watakumaliza on each US dollar paypal transaction kutokana na exchange rate fluctuations kama ulivyobainisha hapo juu. Badala yake Fungua akaunti ya US dollar CRDB, wakupe visa card halafu tumia hiyo account for all your paypal transactions.
 
nina Current Account ya kawaida ya Shilingi,,

hapo usipige kelele ulikuwa exposed kwenye exchange rate risk, najua malipo ulifanya kwa dola baada ya kubadilisha madafu kuwa dola. mfano umefanya manunuzi wakati dola moja inauzwa 1825. kama bidhaa inauzwa dola 50 utalipa shilingi 91,250. ikitokea mtafaruku na ikanyika marejesho ya dola 50 ulizolipa na kwa kuwa bei ya moja dola kwa shilingi hubadilika kila siku hivyo. hivyo siku inarudi unaweza kukuta dola moja inauzwa 1812 hivyo utarudushiwa shilingi 90,600. hii ni pungufu ya shilingi 650. hii ni hasara ya kawaida kwenye soko la fedha ni vitu vidogo unaweza kujifundisha mwenyewe kupitia google.

google exchange rate risk.
 
Kutumia account ya Tsh kwenye paypal is pure recklessness, CRDB/Paypal watakumaliza on each US dollar paypal transaction kutokana na exchange rate fluctuations kama ulivyobainisha hapo juu. Badala yake Fungua akaunti ya US dollar CRDB, wakupe visa card halafu tumia hiyo account for all your paypal transactions.
Tatizo la $ account ni usumbufu ule wa kubadilisha hela kwenda dollar ili ukafanye deposit kwenye account kila unapotaka kununua kitu au kulipia huduma. Hata kama ni bidhaa ya 2,000/= lazima nikaiconvert kuwa dollar ili nikadeposit benki. Urahisi wa TZS account ni kwamba conversion inafanyika automatically wakati wa malipo, urahisi wa kudeposit hela either kupitia mpesa tigopesa etc bila hata ya kwenda kuunga foleni benki, na pia urahisi wa kuhamisha hela kutoka bank kuja kwenye mpesa tigo pesa etc, na huduma zingine muhimu ktk maisha ya kilacku yako wewe mTanzania. Otherwise, nafahamu pia urahisi wa kufanya transaction smoothly ukiwa na $$ account..
 
Ok. Sounds quite sensible.
 
hapo usipige kelele ulikuwa exposed kwenye exchange rate risk, najua malipo ulifanya kwa dola baada ya kubadilisha madafu kuwa dola. mfano umefanya manunuzi wakati dola moja inauzwa 1825. kama bidhaa inauzwa dola 50 utalipa shilingi 91,250. ikitokea mtafaruku na ikanyika marejesho ya dola 50 ulizolipa na kwa kuwa bei ya moja dola kwa shilingi hubadilika kila siku hivyo. hivyo siku inarudi unaweza kukuta dola moja inauzwa 1812 hivyo utarudushiwa shilingi 90,600. hii ni pungufu ya shilingi 650. hii ni hasara ya kawaida kwenye soko la fedha ni vitu vidogo unaweza kujifundisha mwenyewe kupitia google.

google exchange rate risk.
nafkiri kama ni swala la exchange rate basi refund yangu interms of $$ ilikuwa converted kwenda kwenye account yangu kwa kutumia buying price na sio selling price, ndio maana nikakatwa kiasi chote hicho. Mfano: kama exch.rate ya benki ni Tsh 1670-1780/$, wakati nafanya payments online crdb walitumia 'selling price' '1780' ili waConvert kwenda $, na ntakapo pokea refund basi crdb bank itaipokea hiyo $ kwa kutumia 'buying price' '1670' ili waweze kuDeposit kiasi hicho kwenye account yangu in Tzs. Kama $$ inatoka nje ili iwe credited kwenye local account as a domestic currency basi benki itakuwa inainunua hiyo foreign currency kwa kutumia buying price yake..
Lakini kinachonifanya nisiamini kuwa pesa inapungua sababu ya exchange rate ni kwasababu transactions zingine zinarudi vile vile bila kukatwa chochote!!
 
hiyo buying price na selling price ina fluctuate so inaweza kutoka 1670-1780 kwenda 1640-1740 hiyo ya kurudishiwa kiasi kile kile huu ni muujiza ambao hutokea kwa nadra kwenye soko la fedha.Transaction yako haiwezi kusimamisha bei isipande wala kushuka kwenye soko la fedha vinginevyo tungekupa leseni ya kuprint note na kufyatua coins.
 
naelewa vizuri kuhusu fluctuations, lakini kama utarudi nyuma kidogo kwenye post yangu ya mwanzo uangalie ile transaction nilipokea full refund refund bila kukatwa ungeelewa ninachomaanisha..
 
naelewa vizuri kuhusu fluctuations, lakini kama utarudi nyuma kidogo kwenye post yangu ya mwanzo uangalie ile transaction nilipokea full refund refund bila kukatwa ungeelewa ninachomaanisha..

kama ilitokea hivyo basi huwenda system ili fail ukafanikwa kuiibia benki, uko tayari kuirudishia benki ikibainika system iliku ku-favor kimakosa ?
 
kama ilitokea hivyo basi huwenda system ili fail ukafanikwa kuiibia benki, uko tayari kuirudishia benki ikibainika system iliku ku-favor kimakosa ?
hahaha haya bhana,,ila seriously kuna wizi pale, lazima niifuatilie hii,,
 
hahaha haya bhana,,ila seriously kuna wizi pale, lazima niifuatilie hii,,

Kila la heri, ila usihukumu bila kutafiti, ni ngumu sana wizi kutokea kwenye automated transactions kama hizo za kwako.
 
Back
Top Bottom