Tatizo la ndoto pevu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la ndoto pevu.

Discussion in 'JF Doctor' started by innocent j, Apr 12, 2012.

 1. i

  innocent j Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wakuu?

  Ana miaka 26 lakini toka azaliwe hajawahi kupata zile ndoto pevu(wet dreams)..

  Hii ndio case niliyoombwa ushauri. Imeniwia vigumu kumjibu haraka. Je ni tatizo la kawaida? Kabla ya kukutana na mshkaji ckuwah kuhisi kama kunamtu anaweza asipate hizi ndoto.

  Ushauri wenu jamani..
   
Loading...