MAKOLE
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 618
- 280
Habari Madaktari/ wataalamu wa afya na kinga.
Wazee wangu wana umri wa utu uzima sasa 65-70s na wote wana shida sana ya kuumwa na miguu. Mzazi wa kiume anashida pia ya magonjwa ya moyo na pia ni mtumiaji wa dawa kali za presha. naomba kujuzwa endapo naweza kupata dawa ama ushauri wa kuweza kuwasaidia. Heshima mbele