Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,880
- 7,023
Wakuu habari ...
Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la mucus kwenye koo linalopelekea nitoe makohozi yenye harufu mbaya sana na kinywa kunuka sana.
Nimekwenda hospitali nikabainika tatizo la post nasal drip... Nikapewa dawa na kushauriwa kutumia mouth wash.
Lakini bado tatizo liko pale pale.
Naombeni msaada tafadhalini hili tatizo linaninyima amani.
Dawa gani nitumie niondokane na hili hali?