Tatizo la mtoto kukaa vibaya tumboni suluhisho ni nini?

medrickrobert

Member
Apr 25, 2017
58
9
Mke wangu amepima hospital akakutwa mtoto kakaa vibaya, na docta alisema kuna hatar ya kufa mama au mtoto, na alimshaur ma mkwe aende kwenye tiba asilia, naomba mwenye utaalam kuhusu hili anisaidie mm na mke wang, plzzz
 
Mama mjamzito mara nyingi ashauriwi kutumia dawa mpaka pale ujauzito utakapofikia miezi 7 na kuendelea..hatatumia dawa kwa maelezo ya Dr. na chini ya uangalizi wake.
Shida ya mtoto kukaa vibaya mara nyingi huwa wanashauri mama mjamzito hawe anafanya mazoezi zaidi.
Dr.anayekushauri kutumia Tiba asilia sio Dr.nadhani atakuwa muuguzi
Ushauri wangu kwa sasa Tafuta Hosp.nzuri mpeleke mkeo hapo. Na kama hauko mjini basi jaribu kuamia japo kwa mda karibu na hosp.
ambayo unaweza kupata huduma nzuri na salama kwa mkeo..
 
Hiyo mimba haijafkisha hata miez minne, na umesema haruhusiwi kutumia dawa, haspital anatibiweje,
 
Huyo atakua doctor aliyegushi chet au ni nesi ,, kwa hyo alikupa majibu hayo bila kukupa msaada au namna ya kufanya?
 
Kweli badilisha hospitali...hakuna cha kufanya kama amekaa vbaya...zaidi ni kupanga Kwa namna gani atazaliwa!!mpate daktari bingwa wa wanawake na wajawazito!!na ni issue ya kawaida!!
 
Back
Top Bottom