Tatizo la msichana wa kawaida kujiona mzuri, linasababishwa na nini?

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,660
15,744
Kiukweli japo wanasema uzuri uko machoni mwa mtazamaji, lakini to some extent tunaweza kukubaliana kuwa msichana fulani ni mzuri sana, mzuri kiasi au wa kawaida.

Sasa tatizo unakutana na msichana wa kawaida ila you can tell by the look kuwa huyo msichana anajiona mzuuuri kupita kiasi. And you cleary see that it has sank onto her head kwamba yeye ni mzuri.

Je 'tatizo' hili linatokana na nini? Je ni kioo ndicho kinamdangaya? Je ni wanaume wanaomtongoza ndio wanamdanganya at yeye ni mzuuuri, au ni marafiki zake ndio wanamdanganya hivyo au?

Tatizo la msichana kujiona mzuri kupita kiasi limedisable potential za wasichana wengine. They think kuwa kila kitu kinaweza kuwa chao kwa kupewa unfair priviledge, na wengi wao hawapendi kutumia nguvu kujishughulisha ili kujipatia kipato halali...
 
Mkuu;
Jibu mbona rahisi tu. Miluzi mingi na zile tsssssiiii apitapo vijiweni. Huwa anabadili hata hatua. Lift lift na kuangaliwa kwenye sight mirror. Kumbe si lolote si chochote, usiku gizani wote wamefanana tu
 
Silaha pekee ya mwanamke itayomsaidia kumpeleka mahali anapopataka ni kujiamini, mwache ajiamini wewe endelea kumuona wa kawaida ila kujiamini kwake kutaweza either kumkosesha vingi au kumuepusha na mengi
 
Inategemea anatoka wapi .. kuna mademu unakuta mtaani au kijijini kwao ndiyo wazuri kupita kijijini kizima sasa. Ile inawapelekeA Kuamini kuwa ni mzuri sasa akija huku kwenye mchanganyiko anakutana na wazuri zaidi hapo ndiyo huleta shida hawezi kubali kuwa kuna walio mzidi .. me nikikutana nao nasema mrembo wa kijiji/mtaa anajaribu kusumbua na nawasamehe bure tu
 
Yani hapa kuna binti kiukweli ni mzuri hatari lakini namwonea huruma sana.
 
Back
Top Bottom