mi kwangu mbona full spid
poleeeeeeeeee
Jamani nina siku karibu sita modem ya voda inanisumbua, nikiweka kwenye computer inaonyesha kuwa inaonyesha rangi nyekundu mda wote. Haikubali kukonect na kila nikiweka tatizo linakua hilo hilo. Nimejaribu kuwapigia customer care wananiambia wako busy. Hivi hili tatizo ni mimi tu au kuna wengine wenye tatizo kama hili, kama kuna anaeweza kunisaidia katika hili naomba msaada.
UnInstal hiyo software yake alafu chomeka modem tena uInstal upya, itakuwa ni drivers zimecrash,,fanya hivyo mkuu hii spidi ya voda ya leo si mchezo nimeshusha 6GB kuanzia jana,,Jamani nina siku karibu sita modem ya voda inanisumbua, nikiweka kwenye computer inaonyesha kuwa inaonyesha rangi nyekundu mda wote. Haikubali kukonect na kila nikiweka tatizo linakua hilo hilo. Nimejaribu kuwapigia customer care wananiambia wako busy. Hivi hili tatizo ni mimi tu au kuna wengine wenye tatizo kama hili, kama kuna anaeweza kunisaidia katika hili naomba msaada.
Chief- Samahani kwa kutokulieleza vizuri hilo, hiyo taa nyekundu ni taa ya modem ndo inaonyesha hivo.Maelezo hayajitoshelezi kabisa hio rangi nyekundu ni dashboard, ni taa ya modem ni dessktop yote au nini? Hebu funguka vizuri elezea kwa kina
Nashuuru mkuu, ngoja nijaribu.UnInstal hiyo software yake alafu chomeka modem tena uInstal upya, itakuwa ni drivers zimecrash,,fanya hivyo mkuu hii spidi ya voda ya leo si mchezo nimeshusha 6GB kuanzia jana,,
Nimejaribu na kwenye PC nyingine bado tatizo ni lile lile, natumia Model K3570-Z, IMEI:395992035248742, S/N: 321302852569Jaribu kwa pc nyingine kama bado inazingua tujuze!!! Kwani unatumia model gani?
Chief- Samahani kwa kutokulieleza vizuri hilo, hiyo taa nyekundu ni taa ya modem ndo inaonyesha hivo.