Tatizo la Modem ya Voda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la Modem ya Voda

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Morinyo, Sep 27, 2012.

 1. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,471
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Jamani nina siku karibu sita modem ya voda inanisumbua, nikiweka kwenye computer inaonyesha kuwa inaonyesha rangi nyekundu mda wote. Haikubali kukonect na kila nikiweka tatizo linakua hilo hilo. Nimejaribu kuwapigia customer care wananiambia wako busy. Hivi hili tatizo ni mimi tu au kuna wengine wenye tatizo kama hili, kama kuna anaeweza kunisaidia katika hili naomba msaada.
   
 2. kaka mkweli

  kaka mkweli Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 15
  mi kwangu mbona full spid
   
 3. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,471
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Mkuu mimi kwangu inasumbua sana
   
 4. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  poleeeeeeeeee
   
 5. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,471
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Asante kama kuna njia ya kuwasiliana nao kwa njia nyingine zaidi ya namba 100 naomba unisaidie.
   
 6. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 1,154
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Jaribu kwa pc nyingine kama bado inazingua tujuze!!!
  Kwani unatumia model gani?
   
 7. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #7
  Sep 27, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,006
  Trophy Points: 280
  Maelezo hayajitoshelezi kabisa hio rangi nyekundu ni dashboard, ni taa ya modem ni dessktop yote au nini? Hebu funguka vizuri elezea kwa kina
   
 8. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,235
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  UnInstal hiyo software yake alafu chomeka modem tena uInstal upya, itakuwa ni drivers zimecrash,,fanya hivyo mkuu hii spidi ya voda ya leo si mchezo nimeshusha 6GB kuanzia jana,,

  [​IMG]
   
 9. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,471
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Chief- Samahani kwa kutokulieleza vizuri hilo, hiyo taa nyekundu ni taa ya modem ndo inaonyesha hivo.
   
 10. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,471
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Nashuuru mkuu, ngoja nijaribu.
   
 11. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,471
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Nimejaribu na kwenye PC nyingine bado tatizo ni lile lile, natumia Model K3570-Z, IMEI:395992035248742, S/N: 321302852569
   
 12. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #12
  Sep 27, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  that means no network coverage
   
 13. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #13
  Sep 27, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,006
  Trophy Points: 280
  yah kama nixon anavosema hamna network either hama hicho chumba tafuta angle nyengine
   
 14. mgeni3

  mgeni3 JF-Expert Member

  #14
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 4, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  it also means hiyo line imechomekwa vibaya most likely umeigeuza sivyo.... am sure wanakuambia invalid or no S.I.M card
   
Loading...