Tatizo la mkojo

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,760
48,408
Jamaa alipimwa Malaria
ikawa damu haitoki vizuri
kwenye kidole.....
Ikabidi nesi amminye
kidole taratibu ili damu itoke.....
Katika kuminywaminywa
jamaa akaona raha!!
Akamwambia nesi
"MKOJO PIA HAUTOKI"
 
Mbona hujamalizia, alipokutana na Dr akamwambia Choo kikubwa hakitoki vizuri..,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom