Tatizo la mbwa kuishiwa nguvu miguuni linasababishwa na nini?

Sababu ni nyingi
Tatizo la mbwa kuishiwa nguvu miguuni na kubaki amelala tu linasababishwa na nini? Je matibabu yake ni nini?
Sababu no
1.kupigwa hasa maeneo ya mgongoni shingoni na kichwani
2.spinal tumor (cancer kwenye uti wa mgongo hpo hii unahusishwa na uvimbe kwa nyuma)
3 arthiritis hii uvimbe wa joints kwenye miguu
4 hip dysplasia hii mfupa wa paja unashindwa kufiti kwenye kwenye socket ya nyonga inahusishwa na mbwa wenye umri mkubwa na urithi
5 botulisim hii mbwa anakula chakula hasa nyama iliyooza na yenye vimelea vya clostridium botulinum ambavo vinazalisha sumu inayoleta athari kwenye mfumo wa faham na kusababisha kuparalysize
 
Tatizo la mbwa kuishiwa nguvu miguuni na kubaki amelala tu linasababishwa na nini? Je matibabu yake ni nini?
Elezea ni mbwa aina gani mkuu wenye matatizo hayo zaidi GSD aina ya show line. Ambao ni wale mbwa aina ya German shepherd walio inama mgongo karibu na kiuno, na huwa na miguu mifupi ya nyuma. Hawa kimsingi husumbuliwa saana na ugongwa elbow na joint. Ambayo nadhani wataalam wanaita dysplasia:- (The working line German shepherd is more rugged and typically healthier and less prone to hip and elbow dysplasia. The show line is bred for appearance and more prone to hip and elbow problems due to their sloped backs and shorter hind legs.)
Ila vet wanaweza kushauri zaidi. Na hawa mbwa nchi nyingi sasa hivi wameacha kuwazalisha wanazalisha zaidi GSD workline ambao miguu Yao imelingana mbele na nyuma.
 
Back
Top Bottom