Kupungukiwa na damu kunasababishwa na nini?

Point of No Return 19

Senior Member
Jul 2, 2023
194
454
Nina mtoto wa kiume wa sister wangu.

Ana miaka 21

Mwakajuzi alisumbuliwaa na macho kaambiwa anaupungufu wa Vitamn

Akapewa madawa ya kuongeza vitamin

Safari hii amekua akihisi ganzi miguuni na uchovu na maumivu

Kaenda hospital kaambiwa Ana Damu 10 hivyo kapewa folic acid na neuruton

Naomba kuuliza tatizo hili linasababishwa na nin ??

Na vyakula gani huongeza Damu kwa haraka ?
 
Mwili wa binaadam hutumia kimiminika kujipooza. na baada ya mwili kujipooza kimiminika kilicho tumika hutoka nje kwa njia ya jasho. mkojo au kinyesi.

Hivyo endapo mtu atatoa kimiminika kingi kuliko atakacho ingiza. hapo anaweza kukabiliwa na tatizo la upungufu wa Damu.

Vyakula vinavyo weza kumuongezea damu kwa wingi ni mboga za majani haswa tembele, majani ya maboga...

Matunda na jamii ya viazi vinautwa bitroot ni vizuri mno.​
 
Back
Top Bottom