Mathias_95
Member
- Apr 17, 2021
- 26
- 95
Mbiliuna nchi ngapi em tuanzie apo
Mbili
Kasema 2 inchuna nchi ngapi na una mwili wa aina gani yani unauzito kg ngapi?
pole mkuu but nchi mbili sio ndogo pia mm sijakuona but naisi una tatizo la obesity fanya diet na mazoezi tumbo na mwili vitapungua na apo utaona uume unaongezeka walau inchi 4 hadi 5.Mbili
una nchi ngapi em tuanzie apo
Wanajukwaa naomba kuuliza tatizo la maumbile ya kiume madogo isivyokawaida kwa mtu mzima linatibika? (Na nitafurahi kama nitapata pia briefing za namna yakupata tiba).
Ama mtu akizaliwa hivyo ndo ishatoka (mpaka atakufa bila kuwa na familia)?
Ni ishu serious sana naomba msaada.
Kwa mwenye msaada serious aje PM tafadhari
Kasema 2 inches hapo juuUume mdogo kwa mjibu wa nini ama kwa kulinganisha na nini?. Mimi Nina inchi6+bado nahisi ndogo.
Sasa tuambie Uume wako una in hi ngapi kwanza.
Duh.. Kesi yake ni nyingine.Kasema 2 inches hapo juu
Wapi uko (mkoa gani)? Make wengi wanakuwa waongo tu inshort n kazi kweli kupata dawa ya kukuza maumbile(sjui Kama zipo za kweli)Duh.. Kesi yake ni nyingine.
Uku niliko na kutana na mabongo mengi ya penis enlarge in 3/days .. Na namba za simu wanaweka.
Ni kutana na ilo bango nitapiga picha niweke kwa huu uzi wake
Madhara hayapo make madawa ya kuongeza nayo hayapo labda tusubiri wajuvi zaidi Wenda na sisi tukaongezaLazima utakutana na madhara kwa madawa utakayotumia
Nalog off
Najua ni wapigaji kama wapigaji wengine..Wapi uko (mkoa gani)? Make wengi wanakuwa waongo tu inshort n kazi kweli kupata dawa ya kukuza maumbile(sjui Kama zipo za kweli)