Tatizo la mate kujaa mdomoni

Pelly

Senior Member
Mar 26, 2013
149
131
Habari zenu,

Naombeni msaada mke wa rafiki yangu amekuwa na tatizo la KUJAA mate mdomoni, nilipoambiwa nilidhani ni dawa anazotumia zinasababisha, kifupi anatibiwa afya ya akili pale Muhimbili so kuna madawa anatumia mengi tu, ila kuna wakati ana kuwa kawaida ila naona yameanza tena wiki chache zilizopita, nikamshauri aende hospitali. Juzi kaenda Daktari kamwambia ni grand zake zinazalisha mate yaani uzalishaji upo juu sana inabidi sindano.

Naombeni ushauri jamani tumsaidie
 
Kama hana magonjwa mengine, Mate mengi mdomoni ni moja ya dalili au viashiria vya anxiety, mi sio Daktari.
 
Habari zenu, naombeni msaada mke wa rafiki yangu amekuwa na tatizo la KUJAA mate mdomoni, nilipoambiwa nilidhani ni dawa anazotumia zinasababisha, kifupi anatibiwa afya YA akili pale muhimbili so kuna madawa anatumia mengi tu, ila kuna Wakati Ana kuwa kawaida ila naona yameanza tena wiki chache zilizopita, nikamshauri aende hospital juzi kaenda Dr kamwambia ni grand zake zinazalisha mate yaani uzalishaji upo juu sana inabidi sindano
Naombeni ushauri jamani tumsaidie
Umetoa maelezo mazuri sana mkuu,,,usijihangaishe sana mkuu haupo nje na makisio yako ni hizohizo dawa anazotumia achana na huyo dr uchwara anaesema anahitaji sindano hapo ni kumuongezea tatizo tu,,,kama dawa zenyewe ni kati ya hizi haloperidol, amytripytline, zipo na zingine. Hizi kazi yake zinakata baazi ya mifumo ya fahamu inakuwa haifanyi kazi,,ikitokea ikakata mfumo wa kukontrol gland za mate ndo hutokea mate kutoka bila mpango niliwahi tumia dawa kama izo zilinifanya ubongo kama unatikisika nikitikisa kichwa kama hajaharibika sana kiakili astop tu kuzitumia
 
Asiache ila atumie Olanzapine km mbadala
 
Asanteni sana, nimeshamshauri amuombe Dr ambadilishie hizo dawa japo Anasema hizi dawa zipo na mavitu ya ajabu mwanzo hadizikuzoee, nashukuru kwa michango yenu nyote
 
Habari mkuu. Naomba kuuliza,mkeo anasumbuliwa na nini hasa? Naweza kusaidia kama ni issue za depression, anxiety and other mental disorders.
 
Azingatie katika haya maelezo pia
Asanteni, sasa kichekesho kama siyo masikitiko, usiku wa kuamkia jana aliumwa kichwa sana hadi kupata usingizi usiku akaupata asubuh akaamka saa tisa alasiri akafanya shughuli na kupika akawa na shida ya mate tu, kufika saa tano usiku kikaanza kichwa alipolala kitandani akaanza kupata maumivu KWENYE mbavu, usingizi kama alipata ni saa kumi alfajiri ila nadhani ataenda Leo kumuona Dr japo yeye ANATAKA sindano ya maumivu tu, nitakuja na ombi lingine humu maana anachangamoto nyingi Figo moja ilitolewa kisa ilipata uvimbe kidogo
 
Duh anateseka sana. Pole sana mkuu
Asanteni, sasa kichekesho kama siyo masikitiko, usiku wa kuamkia jana aliumwa kichwa sana hadi kupata usingizi usiku akaupata asubuh akaamka saa tisa alasiri akafanya shughuli na kupika akawa na shida ya mate tu, kufika saa tano usiku kikaanza kichwa alipolala kitandani akaanza kupata maumivu KWENYE mbavu, usingizi kama alipata ni saa kumi alfajiri ila nadhani ataenda Leo kumuona Dr japo yeye ANATAKA sindano ya maumivu tu, nitakuja na ombi lingine humu maana anachangamoto nyingi Figo moja ilitolewa kisa ilipata uvimbe kidogo
 
Habari zenu,

Naombeni msaada mke wa rafiki yangu amekuwa na tatizo la KUJAA mate mdomoni, nilipoambiwa nilidhani ni dawa anazotumia zinasababisha, kifupi anatibiwa afya ya akili pale Muhimbili so kuna madawa anatumia mengi tu, ila kuna wakati ana kuwa kawaida ila naona yameanza tena wiki chache zilizopita, nikamshauri aende hospitali. Juzi kaenda Daktari kamwambia ni grand zake zinazalisha mate yaani uzalishaji upo juu sana inabidi sindano.

Naombeni ushauri jamani tumsaidie

Katika Natural Health Knowledge; tatizo la mate kujaa kwa wingi mdomoni , ( Phlegm)
Husababishwa na energy kuwa dhaifu mwilini na kusababisha mate au Ute kutoka kwa wingi mdomoni na pia itaambatana na Mapigo ya Moyo kwenda kasi ( Palpitations)
So moja kwa moja itasumbua umeme wa ubongo hivyo kutengeneza blockage au mishipa ya ubongo( Neurones) kusinyaa

Mtu wa hali hii hupoteza mawasiliano na kukumbwa na tatizo la afya ya akili .

Katika Heahoutang Natural Health system knowledge au Xianhe , kupitia Traditional Chinese Medicine
Mfumo wa ubongo upo chini ya udhibiti wa mfumo wa Figo

TIBA YAKE :
1. Zingatia nishati kwenye Mfumo wa Figo kama zipo kwenye uwiano sahihi ( Balance Kidney & Bladder system Energy)

2 .Imarisha mzunguko wa damu mwilini ; hii tunashughulikia mishipa yote ya damu mwilini kuwa sawa ( Microcirculation)

Treatment plan hii itamuweka mgonjwa kuwa sawa na atapona kabisa tatizo lake , mwili utarudia hali yake ya kawaida na kurudisha utendaji wake asilia kiusahihi

Ukihitaji matibabu yetu ; wasiliana nasi au jaza fomu zetu za uchunguzi wa kiafya na appointment online

Cont: +255757577995 www.heshoutang.com/heshoutang-dar-es-salaam-tanzania-office
IMG_2276.jpg
 
Hiyo ni dalili za usukule ndio maana hana akili nzuri kuwa serious ,ombeni au mpelekeni kwa mtaalamu huyo ni kimbola
 
Ni mke wangu nimedanganya naomba nisamehe kama nimekukwaza, nimejaribu kuitumia njia ya rafiki tu
Tunajuaa, wala usijali.

Simulizi nyingi humu Jf ukiiona inakuja kwa nijia ya '3rd party', ukasikia rafiki yangu, ndugu yangu nk nk, elewa kisa tajwa ni cha msimuliaji mwenyewe, ni chake.
 
Habari mkuu. Naomba kuuliza,mkeo anasumbuliwa na nini hasa? Naweza kusaidia kama ni issue za depression, anxiety and other mental disorders.
Salama, nitashukuru sana Ana depression hisitoshe anahishi na Figo moja so kuna dawa anaziogopa yaani kwa kifupi imemletea magonjwa mengi sana yaani anaweza kukaa kichwa na mbavu vikamuuma sana hata siku 2, jana alienda hospital hakuna shida yaani hatuelewi uchawi au nini?
Nitakuja na uzi wa mtoto tena nitampa mwenyewe haandike vizuri
 
Hiyo ni dalili za usukule ndio maana hana akili nzuri kuwa serious ,ombeni au mpelekeni kwa mtaalamu huyo ni kimbola
Asante sweet candy, kama unayemtaalamu wa hizi mambo naomba nisaidia no location na jina lake
 
Mimi labda nikipata namba ya padri aliyemwombea mwanadada fulani nitakupa ila humu omba huo msaada utasaidiwa . Hata leo
 
Back
Top Bottom