Snipes JF-Expert Member Jul 2, 2013 8,920 16,199 Jun 28, 2017 #1 Nahisi tatizo langu la macho limeanza tena baada ya eid kuisha kila nikiangalia wallet yangu sioni kitu [HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
Nahisi tatizo langu la macho limeanza tena baada ya eid kuisha kila nikiangalia wallet yangu sioni kitu [HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
Bishop Hiluka JF-Expert Member Aug 12, 2011 7,140 14,678 Jun 28, 2017 #2 Archduke said: Nahisi tatizo langu la macho limeanza tena baada ya eid kuisha kila nikiangalia wallet yangu sioni kitu Click to expand... Nasikia hata wallet huioni japo umeishika...
Archduke said: Nahisi tatizo langu la macho limeanza tena baada ya eid kuisha kila nikiangalia wallet yangu sioni kitu Click to expand... Nasikia hata wallet huioni japo umeishika...
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 51,991 69,385 Jun 28, 2017 #5 Hahaha pole mkuu, nenda hospito