Dozi inatumikaje madam?Unga wa mdalasini na asali,
Koroga kunywa, ndani ya siku kadhaa utaleta mrejesho.
N.B. Mara nyingi dawa za kupakaa hutuliza wala haziponeshi hasa tatizo likishakua sugu, kwa sababu ugonjwa hua kwenye damu ndio mana dawa za kupakaa yafaa ziambatane na za kumeza.
yap..exactly..but hakikisha unatoa nywele zote ili dawa ipige vizuri...but kmaa ni MBA wa kawaida kama mapunye waweza tumia sabuni take inaitwa Delto savron..inauzwa shilingi 4000 mpka 5000...ukisema del to watakupa zile Za kawaida za 1500,..!nenda famac ulizia naomba delto yenye savron...IPO tarmac tu...
Unga wa mdalasini kijiko cha chai kimoja,Dozi inatumikaje madam?
Jitahidi umuone daktari wa wanawake.inachosha sana
na hio mara kumi ni makadirio tu..
hata sielewi nna tatizo gani maana najitahidi kila unachosema
Kwa nje unaweza kujisafisha na sabuni isiyo kali kama Jamaa ya kufuliandani na nje kote sinawii
Mm nilitumia mtind wa kugandisha mwenyew dio hay ya pakt n nikatumia usiku na asabuh wik moj nikapon kabisanaweka navaa n pedi lakini wapi
na mengine nakunywaga
Hao fungus wanafanya ngozi inawasha? Ngozi imepauka ?Wakuu Nahitaji Dawa kwa ajili ya Fungus nimeona niiombe msaada kwani imeshaanza kuenea maeneo mengine kama Usoni naona kutoka na Kujikuna au Taulo ambalo natumia Ugonjwa huu unaninyima raha hasa nikitoka Kuoga
Huwa najikausha vizuri na Taulo lakini wapi hali bado ngumu naombeni msaada wakuu Ugonjwa Siupendi huu umeniathiri sana sehemu za Siri.
Dawa ambayo niliambiwa nitumie inaitwa WHITEFIELD lakini hii nikipaka Korodani huwa zinataka kukatika ina maumivu makali sana hadi machozi yanatoka.
Msaada.
Duuh! Sasa kujipaka white field tuunalia, je hii dawa niliyotaka kukupa? Anyway kam una ujasiri jipake dawa ya vidonda ya Iodine sehemu zilizoathirika... Ni very effective. Ila angalia isiingie machoni. Na kama unapaka kwenye korodani, paka juu juu kwa mbali mbali. Ukipaka nyingi unaweza ukatoka uchi nje ya nyumba huku unapiga yowe!Wakuu Nahitaji Dawa kwa ajili ya Fungus nimeona niiombe msaada kwani imeshaanza kuenea maeneo mengine kama Usoni naona kutoka na Kujikuna au Taulo ambalo natumia Ugonjwa huu unaninyima raha hasa nikitoka Kuoga
Huwa najikausha vizuri na Taulo lakini wapi hali bado ngumu naombeni msaada wakuu Ugonjwa Siupendi huu umeniathiri sana sehemu za Siri.
Dawa ambayo niliambiwa nitumie inaitwa WHITEFIELD lakini hii nikipaka Korodani huwa zinataka kukatika ina maumivu makali sana hadi machozi yanatoka.
Msaada.
Aspirin ni dawa mzuri Kuna daktari mmoja humu jf ameniponyaHao fungus wanafanya ngozi inawasha? Ngozi imepauka ?
Wacha uchoyo si utuambie wotePiga no 0675979123 utapata msaada