Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Mkuu hiyo hali inaitwa kipumbu ilitusumbua sana wakati tunasoma shule moja boarding (anonymous) teacher wa Chemistry msela2 alituma chemical moja nimeisahu tukajipaka.

Sababu kubwa ni mabafu yetu huku uswazi. Cha kufanya tumia sabuni ya dettol ile ya 2500 au 3000 mana hiza za 1000 nyingi zimechakachuliwa...
Ile solution ukipaka inauma balaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana jamaa wa JF et samahani dawa ya fangasi sugu ni nini. Zipo kwenye pumbu, nimemeza vile vidonge vya buku buku siku 4 sijapona, nimepata ya kupakaa wapi!
 
Dawa nzuri ya fungus ni vidonge ila jina nimelisahau. Vipo kama paracetamol hivi, maduka ya madawa kimoja kinauzwa shilingi 300 na dozi nzima ni shilingi 6000 unatumia kwa siku ishirini.
 
Zipo kweny pumbu nmemez vle vdong vya buku buk cku 4 cjapon nmepat ya kupakaa wapi
Ukipona zingatia usafi wa chupi uwe unavaa chupi Safi .Chupi chafu husababisha fangasi kwenye pumbu pia uwe unanyoa mavuzi ,huzalisha jasho linalosababisha fangasi . Zingatia usafi wa Hilo dude lako lililo katikati ya mapaja
Kupata fangasi huko chini inaonyesha weed Ni mchafu wa kuanzia Chupi Hadi mavuzi
 
Mbona hay magonjwa kla mt yanamkuta uctake kunambia wte walio ugua ukimw walikua wa asherati sana, wanaume weng wameelimika now wachaf ni wachache san
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom