Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Habari zenu wana jamii Forum

Awali ya yote napenda kuwapa pole kutoka na janga hili kubwa la Korona.
Sasa niende moja kwa moja kwenye Mada. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.

Naombeni kuuliza kuwashwa korodani inasababishwa na nini?. Najua hapa kuna wataalamu wa magonjwa tofauti tofauti nisaidieni. Nawashwa kweli kweli aisee
Ahsanteni


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari zenu wana jamii Forum

Awali ya yote napenda kuwapa pole kutoka na janga hili kubwa la Korona.
Sasa niende moja kwa moja kwenye Mada. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu...
Nunua ndim kumi jipake Maji yake asbh na jioni ndani ya sku tano rudi hapa utoe mrejesho
 
Seriouslly guy ugonjwa huu Kwa dar ni kiboko mwenyewe unansumbua knoma toka nmekuja dar. But n bacteria Mara ya kwanza nlipona bila kutumia dawa but ndo umerudi tena asa sielewi kuoga naoga knoma but naamin niliupata kwenye mabafua Y'all chuo
 
Wadau habari za leo, nina kabiliwa na changamoto ya muda mrefu ya fangasi sehemu za siri hasa kwenye corodani, nimetumia dawa za kumeza na kupaka lakini tatizo halijakoma. Je, kuna dawa nyingine ambayo naweza kutumia ili nipone maana zinawasha na kuleta harufu sio nzuri...

Nawasilisha
 
Nenda hospital, baada ya kumuona daktari, fuata maelekezo yake. usipake dawa wakati bado kuna maji.kausha weka dawa mpaka upone. usiendelee kuzini mpaka upone.

Mwambie daktari akucheck na kinywani, pengine ulipozotoa ulipazamia chumvini.
 
Wadau habari za leo,nina kabiliwa na changamoto ya muda mrefu ya fangasi sehemu za siri hasa kwenye corodani,nimetumia dawa za kumeza na kupaka lakini tatizo halijakoma,je,kuna dawa nyingine ambayo naweza kutumia ili nipone maana zinawasha na kuleta harufu sio nzuri... Nawasilisha
Chumvi na limao changanya na maji ya moto kisha safisha maeneo husika halafu kausha paka MAFUTA ya NAZI asubuhi na jioni

Jr
 

Similar Discussions

13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom