Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Habari wana jamaa wa jamii forums et samahan dawa ya fangasi sugu ni nini
Hebu elezea kwa kina zaidi ukizingatia haya;
Fangasi zilianza lini!
Zipo sehemu gani!
Ulitumia dawa gani(za asili au za kisasa:bainisha)!
Kwanii meziita ni fangasi sugu!!(ni mtaalam wa afya alikuambia kuwa ni sugu!?)

M
 
Fangas ndug ugonjwa wa znaa hapn cz inakujag na kujirudia ila ya sahz imekaa sana kuhs znaa na mwez wa 3 huu cmji mwanamke
Shida ya zinaa inaweza ikakaa hata zaidi ya miezi 6 ndo ijitokeze!
We kamuone daktari ni vzr zaidi!

Pia ,kuna dawa inaitwa "fulconazole" INA vidonge,cream na shampoo ya kuogea!

Tiba ya pili vitunguu swaumu!

Kazi ni kwako! Ila kamuone Dr kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zipo kweny pumbu nmemez vle vdong vya buku buk cku 4 cjapon nmepat ya kupakaa wapi
Kuna moja ya kupaka jina nimelisahau inauzwa buku tano... tiba mbadara chukua mafuta ya alzeti yaishachemsha yakapoa. Paka kwa wingi hapo yani yatafonzwa halafu baada ya muda utaona gamba linabanduka na kutoka. Ila kachome sindano maana itarudi tena au inawezekana nguo zako za ndani unazianika kwenye sehemu isiyo na mwanga, au unavaa nguo ya ndani zaidi ya siku moja, au pia unazivaa zikiwa hazijakauka vizuri.
 
Mimi nakushauri kama unaona kwenda kwa dr ni ngumu basi nenda kwenye duka linaloaminika na umuulizie mtaalam. Haya mambo ya kwenda maduka ya uchochoroni ni hatari na binadamu siku hizi wamegeuka wanyama linapokuja suala la pesa. BTW usafi wako ukoje? Kutumia dawa bila kuwa msafi ni bure. . Unaoga mara kwa mara? . Fungus za kwenye makende zinahitaji usafi sana. Ukioga unajikasha na kuhakikisha huna majimaji kabla ya kuvaa? Unabadilisha na kuvaa underwear safi kila siku? Mashuka, nguo na nyumba yako ni safi? Jasho nalo linachangia sana fungus hasa sehemu za siri. Usivae nguo nzito na nyingi.
 
Tumia hiyo
1590911125973.jpeg
 
Umejuaje kama ugonjwa ulio nao ni fungus? Wakati mwingine unaweza ukawa unaumwa ugonjwa wa zinaa tu. Vipimo kwanza ndo upewe dawa.
yeye ni mtumishi wa bwana,hayo mambo ya mahusiano sijui mapenzi huwa hajihusishi nayo kwanza ni dhambi kufanya hivyo,kwa hiyo jikite zaidi kwenye fangasi ile ya kawaida
 
Ukipona zingatia usafi wa chupi uwe unavaa chupi Safi .Chupi chafu husababisha fangasi kwenye pumbu pia uwe unanyoa mavuzi ,huzalisha jasho linalosababisha fangasi . Zingatia usafi wa Hilo dude lako lililo katikati ya mapaja
Kupata fangasi huko chini inaonyesha weed Ni mchafu wa kuanzia Chupi Hadi mavuzi
sawa ila punguza maneno makali,huyo ni kijana mwenzetu alafu bado hajapona,anahitaji maneno laini laini.

subiri akipona ndio umshindilie maneno mazito mazito ila ukianza sasa hv atakuwa haponi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom