kijana13
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,980
- 3,635
Habari wakuu, Nina iPad yangu,napoiwasha inawaka fresh, tatizo lake kubwa nipale napotouch screen kwa ajili ya kuunlock inasumbua mpaka ni touch mara kadhaa ndio inakubali kufunguka, msaada wakuu, tatizo litakuwa lipi? Na namna ya kulisolve. Natanguliza shukrani.