Tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa wanaume: Fahamu chanzo chake na namna ya kutibu tatizo hili

Mimi nikiiona tu papuchi huwa namwaga hapo hapo
duh wewe wenge lako limezidi aisee.

Ila nakumbuka hata mimi miaka ya nyuma wakati nikiwa mwanafunzi nilikuwa na wenge kama hilo,yaani ilikuwa nikiona ngozi ya tako tu basi dushe linashtuka na kusimama ghafla
 
Mkuu pole sana jichunguze ulaji wavyakula unavyo kula je unakula vyakual vyenye afya ?Je unavuta sigara?unakunyw apombe? unajishughulisha na kazi gani kila siku? umeowa? una mawazo yoyote yale? unatumia kilevi chochote kile? jibu maswali yangu Dawa ipo ya kuweza kurudisha nguvu zako za kiume.
 
sasa ndugu kwanini usimwage? em tulia mwaga tu mengine hata ni ya kupita
 
Mkuu pole sana jichunguze ulaji wavyakula unavyo kula je unakula vyakual vyenye afya ?Je unavuta sigara?unakunyw apombe? unajishughulisha na kazi gani kila siku? umeowa? una mawazo yoyot eyale? unatumia kilevi chochote kile? jibu maswali yangu Dawa ipo ya kuweza kurudisha nguvu zako za kiume.

Mkuu mimi ni programmer muda mwingi naandika codes.

Staili ya kula haijabadilika sana ni ile ya awali. Sijaoa wala sina mawazo yeyote. Sivuti sigara na Pombe na kunywa socially.
 
jaman kulen chakula mshibe ndio show ifanyike kwa ustadi,wengi hawali chakula chakutosha mnahis labda ni tatito la nguvu za kiume,kumbe hukupata chakula😂
 
jaman kulen chakula mshibe ndio show ifanyike kwa ustadi,wengi hawali chakula chakutosha mnahis labda ni tatito la nguvu za kiume,kumbe hukupata chakula😂
wanaume wengi wanakula chips na mayai ya kisasa, yani akikaa hapo kifuani unamuonea huruma.
bora hata kama anajua gemu hawezi apotezee wapewe wapanda bodaboda ama house boy
 
Tafuta hela wewee na uhakikishe unalipa madeni ya watu hizo ndo dawa za nguvu za kiume😂😂😂😂😂😂
 
Wakuu habari zenu,

Mimi ni kijana wa miaka 28. Kuna hali imenitokea mpaka nashindwa kujielewa kabisa. Nimekuwa napata wakati mgumu sana wakati wa kushiriki tendo na mwenzangu. Mwanzo nilikuwa naenda dakika 7-10 kwa round ya kwanza no nimwage. Na nilikuwa nachukua dakika 30-40 kwa round ya pili. Na kwa round ya tatu ilibidi nichukue mpaka lisaa ndo nimwage.

Sasa hapa katikati nashangaa mambo yamebadilika sana ,yaani nachukua dakika moja tu nishamwaga wazungu! na hapo itanibidi nisubiri mpaka lisaa kwa kurudi tena mchezoni. Wakati mwanzo ilikuwa inanichukua dakika 5 tu na kuendelea kwa round nyingine. N a nikirudi tena dakika mbili nyingi nishamwaga.

Ninaomba msaada kwa hili tatizo kwani nimefanya sana mazoezi na kubadilisa diet ila bado ninasumbuka na hili tatizo.

Wapi nitapata specialist wa hili tatizo?

Asanteni sana.
Nyingi huwa ni tamu sana unajikuta sekunde tu usha mwaga sio ww tu kunawakati inatokea mm nishaingia na demu geto mashine haikusimama kabisa akili inataka mashine haisimami dem kuondoka tu mashine ikasimama kupiga nyeto kweli inafanya kazi kuita dem sikunyingine fresh tu
 
Chukua Mu alovela tawi moja , menya ilibutoe ule utandu wa katikati mweupe weka kwenye glass safi , kisha chukua limao kamulia humo ndani lote , kisha weka asali mbichi Vijiko 2 , kisha weka unga wa karaga au peanutbutter , kisha weka maji nusu grasss , unakoroga unakunywa !! Hii itakusaidia kurudisha na kuifanya iwe imara na kuongezeka kidogo , tumia hii dawa kwa mda wa siku Saba uje ulete mrejesho !! Nilikuwa naenda moja mapaka 2 ! Ila baaada ya kuitumia hiyo kwa siku naweza nikapita nyumba tatu tofauti na kila mmoja akahadithia
 
Punguza kula misosi ya mafuta na usiku usile kuvimbiwa !!! Nyingne waweeza saga kitunguu maji na twanga tangawizi kicha changanya na maji , alafu weka kitunguu saumu punje zilizokatwa katwa punje 3 mpaka 4 kisha chuja , uwe unakunywa mara 2 usiku na asubuhi kwa mda wa siku 5 , epuka Vinywaji vya dukani kasoro Majiiiii, na Maji uwe unakunywa kuanzia litre 2.5 na kuendelea !! All the Best , hakuna kitu kinauma kama kugongewa na mtu powerfully inauma sanaaaaa
 
Habari wana jamii naomba kujuzwa dawa ambayo inasaidia kuboresha mbegu za kuime. Ya hospital au hata kienyeji.
Aseeeh usithubutu ndo unaenda kumaliza kabisa !! Mbona simple kula mayai ya kienyeji kwa kuyachemsha , tafuna mbegu za maboga !! Kila siku kunywa tangawizi na karanga
!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom