Tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa wanaume: Fahamu chanzo chake na namna ya kutibu tatizo hili

Habari wana jamii naomba kujuzwa dawa ambayo inasaidia kuboresha mbegu za kuime. Ya hospital au hata kienyeji.
 
Nimegundua kila mtu ana shida zake
Mimi naweza kukaa hata lisaa kifuani bila kukojoa hadi demu anasema inatosha amechoka
Juzijuzi ndo nimebahatika kukojoa mapema km dk ya 30 hivi

Hii nayo shida nini ?
 
Nimegundua kila mtu ana shida zake
Mimi naweza kukaa hata lisaa kifuani bila kukojoa hadi demu anasema inatosha amechoka
Juzijuzi ndo nimebahatika kukojoa mapema km dk ya 30 hivi

Hii nayo shida nini ?
Hilo ni tatizo la hormone
 
Mkuu usihangaike na Hospitali kwa ajali ya ya tiba utapoteza muda wako tu zaidi ya kuja za sumu za madawa katika mwili wako hakuna dawa ya Hosapitali kuweza kukutibia maradhi ya nguvu za kiume na ufanisi mzuri katika tendo la ndoa nitafute mimi nipate kukutibia kwa dawa zangu za asili ili uweze kupona maradhi yako.

Ukiwa na Shida yoyote ile usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukinihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. Kihwaga Whatsap 0692470564
Call 0620258276
FB_IMG_1607575399642.jpg
 
Wakuu habari zenu,

Mimi ni kijana wa miaka 28. Kuna hali imenitokea mpaka nashindwa kujielewa kabisa. Nimekuwa napata wakati mgumu sana wakati wa kushiriki tendo na mwenzangu. Mwanzo nilikuwa naenda dakika 7-10 kwa round ya kwanza no nimwage. Na nilikuwa nachukua dakika 30-40 kwa round ya pili. Na kwa round ya tatu ilibidi nichukue mpaka lisaa ndo nimwage.

Sasa hapa katikati nashangaa mambo yamebadilika sana ,yaani nachukua dakika moja tu nishamwaga wazungu! na hapo itanibidi nisubiri mpaka lisaa kwa kurudi tena mchezoni. Wakati mwanzo ilikuwa inanichukua dakika 5 tu na kuendelea kwa round nyingine. N a nikirudi tena dakika mbili nyingi nishamwaga.

Ninaomba msaada kwa hili tatizo kwani nimefanya sana mazoezi na kubadilisa diet ila bado ninasumbuka na hili tatizo.

Wapi nitapata specialist wa hili tatizo?

Asanteni sana.
 
Una kazi ?
Una madeni ?
Unapiga puchu ?

Kama jibu ni "none of the above" , huna shida , tatizo Ni psychology tu !!! Jiamini , acha wenge , mwandae mwenzako vzr !

Sex Ni hisia, fanya Hilo tendo na mtu unaempenda
Mkuu nina kazi yenye kipato cha kati. Sipigi puchu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom