Elgibo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 1,067
- 1,518
Uko wapi nikutumie dawa bora ambayo utaleta mrejesho hapa?Habarini.
jamani mwenzenu nina tatizo hilo la kutoa harufu mbaya kinywani kusema kweli linaninyima raha kabisa hapa majuzi nimemaliza kutumia mouth wash moja inaitwa MEDI-ORAL nilifikiri ingemaliza tatizo lakini naona bado.
Tafadhalini naomba msaada wa nini nifanye/kutumia ili niondokane na tatizo hili, kusema kweli linaninyima uhuru wakati wa mazungumzo.
Imetengenezwa na madaktari bingwa toka India na Usa baada ya utafiti wa miaka 7