Tatizo la kuvimba vipele kwanye makalio.

Fundifundisho

Member
Jan 11, 2011
77
18
Wadau nina rafiki yangu anasumbuliwa na vipele matakoni,
vipele hivi huwa vinavimba viwili au kimoja juu ya ****,huwa kinauma ingawa huwa hakitungi usaha. huwa vinadum kwa mda mfupi kisha vinanyauka,
hospital walisema ni mchafuko wa dam wakampa dawa lakn baadae tatizo linaludi.
 
Huwa tunaita pressure sores ingawa inabiidi nifanye examination, mara nyingi vinatokana na kukaa muda mrefu hasa sehemu ngumu. Huwa vinaisha vyenyewe na mara nyingi unatakiwa kuijizuia kukaa for long time.
 
hii nina rafiki yangu syndrome itaachwa lini? Mko mabeste hivyo hadi akuambie siri za makalio na mpangilio wa vipele? Mkuu kamwone tu dk
 
hii nina rafiki yangu syndrome itaachwa lini? Mko mabeste hivyo hadi akuambie siri za makalio na mpangilio wa vipele? Mkuu kamwone tu dk

Mkuu nafikiri watu wanakwepa kujiexpress wenyewe!wanatumia migongo ya 'rafiki yangu' wakati wao wenyewe ndo wanasumbuliwa..be open bana ili hata kama kuna kitu cha kuulizwa uulizwe!
 
hii nina rafiki yangu syndrome itaachwa lini? Mko mabeste hivyo hadi akuambie siri za makalio na mpangilio wa vipele? Mkuu kamwone tu dk

Huu ni ujinga kabisa wa sisi member,mtu unaumwa wewe unaanza rafiki yangu au wewe unamla ti•GO rafiki yako? Acha ujinga kwani kuumwa ni kosa? Kwan ukisema ni wewe kuna tatizo gani?
 
kweli kaka, hii "NINA RAFIKI YANGU SYNDROME" inasababisha hatamtu achelewe kupata huduma stahili. Kitu cha msingi ni kwenda katika health facility yoyote iliyo karibu
 
kwanini wartu humu JF huwa mnakuja kama 2nd part,be real aibu ya nini???na tungekua tunaweka majina na pcha zetu ingekuaje?unadhani hata mpoleeee angeweza leta upupu wake humu?????
 
Nilikuwa najiuliza huo urafiki mpaka akuonyeshe makalio mbona umevuka mipaka au una zile tabia za kiCameroun ahaa aaa.
 
wamekushtukia rekebisha maelezo sema ukweli kuwa ni wewe unavipele utapata msaada vinginevyo utaambulia patupu
 
Dah mdau fake kwl anaogopa kusema ni yy apate msaada nahic hawezi kuoyesha ata **** lake kwa dktr ndo maana haponi.
 
Acha kukaa muda mrefu kwenye kiti kigumu kama ulivyokwishashauliwa, hata mie huwa napatwa na tatizo hilo na dawa yangu ni hiyo na kufanya mazoezi plus kunywa maji mengi.
 
Tuendelee, kwa wanaopenda, kutumia hii ya rafiki yangu, hakkuna ubaya hasa unapokuwa kwa washauri wasiokaa vyumbani kama ninyi mliocomment,

Hilo ni tatizo, nenda hospitali, kuna rafiki yangu amepona.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom