Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,198
Nenda kwa daktari wa meno wakasafishe meno na pi akuelekeze njia nzuri za kusafisha meno.
Hilo tatizo si kwamba hupigi mswaki, unapiga sema ni kwamba kuna vyakula vingine vinabaki huwa haviwezi kuondoka kwa kupiga mswaki tu lazima ufanye flossing.
Kwa sasa ningekushauri usukutue kwa kutumia maji ya vugu vugu ya chumvi ( hili kupunguza uvimbe kwenye fizi)na pia sukutua kwa kutumia hydrogen peroxide kila baada kupigwa mswaki hili kuzuia infection.
Kila lakheri, nenda haraka sana kwa daktari wa meno