Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,331
- 33,141
@afrodenzi Me too Thank you nime ku miss sana mkuu Lizzy hakukupatia ujumbe wangu?
@afrodenzi mimi nipo wakati wote nawachunga Wagonjwa wangu humu J.f. Doctor vipi hujambo bibie?Saint Ivuga ...
Afadhali umemwita mtaalam.
afrodenzi[/MENTION] Me too Thank you nime ku miss sana mkuu Lizzy hakukupatia ujumbe wangu?
MziziMkavu ..
afrodenzi mimi nipo wakati wote nawachunga Wagonjwa wangu humu J.f. Doctor vipi hujambo bibie?
@afrodenzi Ujumbe niliompa lizzy juu yako ni kukusalimia tu usijali. ukihitaji matibabu toka kwangu ni P.m. au ingia ile njia yetu ya S.k.Y.P.E. nakungojea huko.MziziMkavu
Ujumbe Lizzy hakunipa unahusu nini?
Mi sijambo kabisa ..
Ila nina hitaji matibabu maalum kutoka kwakoif you don't mind.
Okay asante!Kula mapapai sana yanatibu, angalau moja kwa siku
Wakuu ninatatizo moja linanisumbua kwa muda mrefu sasa, fizi zangu huwa zinatoa damu na pia kuuma na isitoshe kama nakula kwakutumia kijiko na kijiko kikakwangua kwenye sahani meno yanakua kama yanakufa ganzi sio mara zote lakini hili ndio tatizo linalonisumbua, kabla sikakwenda kwa Dokta najua hapa kuna ushauri mzuri kutoka kwa Madokta. Nawasilisha.

Asanteni nitazingatia ushauri wenu lakini ngoja nikamuone Dr. then nitawajulisha.
ThankxNenda kamuone daktari wa meno, na ufanye hivyo kila baada ya miezi 6 ili fizi zako ziendelee kuwa na afya. Kwa habari zaidi na kwa lugha rahisi soma hapa.
Calculus (dental) - Wikipedia, the free encyclopedia
Tafuta neno ''dental calculus' kwenye google picha na utapate kujua wapi unakoelekea